Nakuchukia Baba yangu

Ipo siku utaelewa kwann aliondoka akakuacha na mama yako na hauta mlaumu bali utamshukuru.
 
Eh nielezee kivipi??
mada hyo hapo juu! Sababu nimetoa. Au unanishaur vp mkuu! Manake ktk uzi wangu wanawake mmepigwa za uso sana kuwa nyie ndio chanzo cha matatizo ya family! Wewe kama mwanamke unalizungumziaje hili? SweetyCandy
 
kama huna jibu,basi wewe utakuwa miongoni mwa hao wanawake wanaosababisha mzee aondoke nyumbani? Au ndo mana Tate Mkuu ashakukimbia?
Kwani alisema atanioa lini?? Katamka for real ananioa .
Sikia Tate Mkuu ni sijawahi kumuona humu nataniana naye tu anamke nawatoto lukuki kwa maisha ya ukweli .
Tunafurahiana tu kzi yake ni uganga
 
Nashukuru Almighty kwa kuishi na Baba na Mama....
Lakini kama mmoja wapo asingekuwa katika masha yangu, nisingemuelewa mpaka siku navuta.....
No IF, No BUT.....
 
Kwani alisema atanioa lini?? Katamka for real ananioa .
Sikia Tate Mkuu ni sijawahi kumuona humu nataniana naye tu anamke nawatoto lukuki kwa maisha ya ukweli .
Tunafurahiana tu kzi yake ni uganga
hahahaha! Ndiyo sizungumzii maisha halisi bali utani umetawala ila ingekuwa vema utie neno ktk uzi wng? Si unajua siku hizi nakuzimia SweetyCandy
 
🤔
 
Baba ni Mungu wa pili, muite ukae nae uongee nae. Alaf ataanza kujichukia mwenyewe, ila ukisema unamchukia Baba yako mzazi unafanya vibaya
 
Yeye amefanya sio, wewe usifanye sio, huyo atabaki baba Yako na haaira zako haziwezi mwathiri Bali tuli endelea na mfanyie yote kama baba na hiyo itaonyesha wema wako na huenda akajirudi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…