SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Nimuchumba yupo busySweetyCandy humchukii @TateMkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimuchumba yupo busySweetyCandy humchukii @TateMkuu?
hohohoho hohohooooUsimchukie bali jitenge naye na maisha aliyokupitisheni liwe funzo bora utakapojaaliwa kupata familia yako
Chuki kama hiyo huzaa kisasi.. Jitajidi uzao wako usirithi visasi
Eh nielezee kivipi??@SweetyCandy nishakwambia Tate Mkuu atakusumbua njoo kwangu upate pumziko,japo namchukia dingi.
mada hyo hapo juu! Sababu nimetoa. Au unanishaur vp mkuu! Manake ktk uzi wangu wanawake mmepigwa za uso sana kuwa nyie ndio chanzo cha matatizo ya family! Wewe kama mwanamke unalizungumziaje hili? SweetyCandyEh nielezee kivipi??
No comment jibu yetumada hyo hapo juu! Sababu nimetoa. Au unanishaur vp mkuu! Manake ktk uzi wangu wanawake mmepigwa za uso sana kuwa nyie ndio chanzo cha matatizo ya family! Wewe kama mwanamke unalizungumziaje hili? SweetyCandy
Kama mwanamke kakosea ndo adhabu apewe mtoto?Subiri na wewe uwe baba ndo utajua masahibu aliyokua anapitia baba yako!!!
Wanawake ni miongoni mwa viumbe hatari especially hawa single mingle mazazi
MamaSamia2025 nisaidie mama.Kama mwanamke kakosea ndo adhabu apewe mtoto?
Kwani alisema atanioa lini?? Katamka for real ananioa .kama huna jibu,basi wewe utakuwa miongoni mwa hao wanawake wanaosababisha mzee aondoke nyumbani? Au ndo mana Tate Mkuu ashakukimbia?
hahahaha! Ndiyo sizungumzii maisha halisi bali utani umetawala ila ingekuwa vema utie neno ktk uzi wng? Si unajua siku hizi nakuzimia SweetyCandyKwani alisema atanioa lini?? Katamka for real ananioa .
Sikia Tate Mkuu ni sijawahi kumuona humu nataniana naye tu anamke nawatoto lukuki kwa maisha ya ukweli .
Tunafurahiana tu kzi yake ni uganga
Niko kwenye ndoa na nna watoto wa tatuMkuu umeoa, je una watoto?
🤔Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo.
Baba yangu aliondoka nyumbani mwaka 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha hakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajili ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefika hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Niko kwenye ndoa na nna watoto wa tatu
kwanini mkiwa na mimba changa mnajikuta wasomi sanaaaa?Wewe ndio bure kabisa, sijui hata kama ulikwenda shule
Baba ni Mungu wa pili, muite ukae nae uongee nae. Alaf ataanza kujichukia mwenyewe, ila ukisema unamchukia Baba yako mzazi unafanya vibayaWakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo.
Baba yangu aliondoka nyumbani mwaka 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha hakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajili ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefika hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Yeye amefanya sio, wewe usifanye sio, huyo atabaki baba Yako na haaira zako haziwezi mwathiri Bali tuli endelea na mfanyie yote kama baba na hiyo itaonyesha wema wako na huenda akajirudi .Wakuu,