Nakuchukia Baba yangu

Mama ashakulisha sumu ya kutosha, kuna sababu ya baba yako kuondoka ambayo mama yako hawezi kukuambia
 
baada ya sadaka kwa baba ndo nikapata kazi tena kumbuka ni sadaka ilio nona tena iwe ya upendo yaan muombe mungu toba kwa kumchukia baba yako, pia ww samehe yawezekana aliefanya hayo yote sio baba yako ni mungu mwenyew aliamua ni check kwa number hii tushauliane zaid 0750808484 kumbuka baraka zinatoka kwa wazaz hasa baba( lakini tusimzalau mama), toka enzi baraka zinatoka kwa baba nitafute ndugu tuyajenge MIMI SIO MUANDISHI MZURI SANA NISAMEHE ILA KWENYE HAYA CHUKUA CHOCHOTE KILE MUNGU ALICHOTAKA UPATE
 
Sure kabisa
 
Usimlalamikie baba yako! Uenda alichukua uamuzi mgumu ili muishi na yeye aendelee na maisha! Hawa wanawake viumbe pasua kichwa! Oa ukae na mke angalau miaka 5 utatuletea mrejesho
 
Mimi nina changamoto kama zako hila sijawahi kuja hapa kulalamika maana na mimi sasa hivi ni baba na mama yao niliishampa red card
 
Kumbuka kuna ishu ya kubambikiwa mtoto uko kwenye ndoa. Hapo busara ni dogo kumtafuta mshua asikilize na story ya upande wa pili.
Unaweza kukuta hata huyo dogo sio wa huyo mzee labda ndio maana huyo faza alikimbia lahasha
 
Baba kukimbia nyumba haina maana katelekeza watoto.Japokuwa kama huko alikoenda ataishi na mwanamke mwingine, huyo aliyekimbiwa lazma ajae sumu na hiyo sumu lazima awatapikie watoto wake.
Hapo hataukiuza figo uwatunze as long as huish nao huyo mama ndo atakaye amua watoto wako wakuone nani kwao, baba, kinyago, mshenzi au mwenda wazimu.
 
Kwakua wewe ni mtoto na hujui sababu ya baba yako kukimbia. Wewe sio lazima umpende ila cha kukusaidia usimchukie mtu usiyemjua.

siku ukija kufahamu ni mama yako ndio alimkimbiza kwa kumtamkia kuwa "hawa sio wanao" sijui utajisikiaje.

Ngoja na wewe uwe baba, halaf uyajue mazonge ya akina mama ndio utapata fursa ya kutafakar sawa sawa
 
Ni kweli baba yako alikosea kufanya hivyo,lakini wewe hupaswi kufanya kosa lingine la kumchukia,kumbuka kuwa wewe ni damu yake uliyetoka katika kiuno chake,unatakiwa umusamehe na kumshukuru Mungu ambaye hakukuacha kama baba yako alivyokuacha katika mapito yako.
 
Ume-prove kuwa ni real biological father of yours?, prove first kabla ya kumtangaza vibaya mtu asiye na hatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…