Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
We unajua ni kwa nini hasa alikuwa anaondoka ?Father alikuwa akipata pesa anaondoka na kutokomea kusikojulikana maisha yanatuchapa tukiwa na mama, lakini after all nimeamua kumsamehe chuki ni jela ya nafsi.