norble gas
Senior Member
- Sep 10, 2024
- 146
- 231
Ukisha oa utayajua mengi kijana. Tena wewe unaweza kukimbia familia zaidi ya baba yako. Kua uyaonemimi ni me na sijaoa
Iweje ugomvi wao na mzazi mwenzie hasira na adhabu iwe kwa watoto? Nimeshaona saaana kwa ndugu jamaa na marafiki sa zingine akili inawapungua kuhisi asipohudumia watoto mama atashika adabu which is upumbavu kabisaHakuna mwanaume hapendi familia yake
Hakunaga hasara, kama baba amewatelekeza sababu ya ugomvi wao na mkewe watoto wateseke bila huruma hata watoto wakimchukia hakunaga laanaChuki kwa baba kuna hasara zaidi ya Faida.
kama nilikuwa na wiki mbili tangu nizaliwe niliwezaje kwenda kwenye vibarua nikitoka skuli? Rudia kusoma thread yangu.Hii story ya wewe kutusimulia habari za wakati una wiki 2 hauwezi kuwa ni zako, umesimuliwa na mama yako baada ya baba yako kumkimbia alipomfumania na mwanaume mwingine. Baba yako akajua wewe siyo mwanae akaona ajiondokee tuu.
Wanaume tuna mengi ya moyoni hatuwezi waambia watoto wetu ni aibu.
Kama una kifua mwambie baba yako akwambie kwanini alimkimbia mama yako ambae ni mwanamke akachukua mwanamke mwingine,
Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo
Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.qq
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Kama umeshindwa kuwalea wapeleke kwa baba yao!!! Hunipendi mimi na hela zangu zichukie piaIweje ugomvi wao na mzazi mwenzie hasira na adhabu iwe kwa watoto? Nimeshaona saaana kwa ndugu jamaa na marafiki sa zingine akili inawapungua kuhisi asipohudumia watoto mama atashika adabu which is upumbavu kabisa
kuna mengi ya kuzungumza,msimlimbikizie mama kuwa mwenye tatizo,ndio mana nikawaambia kuwa siku nyingine nitawaletea kisa na mkasa wa baba uliomsababisha aondoke, na nitabia yake tangu mwanzo,nimewauliza watu wazima ambao wameona ukuaji wa mzee akiwemo bibi mzaa mzee wangu. So usikimbilie kutoa hitimisho ili hali mada haikuisha mkuuKwakua wewe ni mtoto na hujui sababu ya baba yako kukimbia. Wewe sio lazima umpende ila cha kukusaidia usimchukie mtu usiyemjua.
siku ukija kufahamu ni mama yako ndio alimkimbiza kwa kumtamkia kuwa "hawa sio wanao" sijui utajisikiaje.
Ngoja na wewe uwe baba, halaf uyajue mazonge ya akina mama ndio utapata fursa ya kutafakar sawa sawa
Nimekuelewa, kwahiyo huyo mdogo wako akiyezaliwa 2011 na wiki mbili baadae baba yako akakimbia ndo alisababisha mgogoro wa baba na Mama yako?kama nilikuwa na wiki mbili tangu nizaliwe niliwezaje kwenda kwenye vibarua nikitoka skuli? Rudia kusoma thread yangu.
Wise men hata hawawezi kuwaza ivo, nafikiri pia umasikini ndo uanchangia mtu kuwaza nikilea mtoto mama anafaidika, ila kwa wenye pesa hata huwa hawawazi watoto wakae wapi, wanasomesha watoto mashule mazuri kabisa na watoto wanalelewa na mamaKama umeshindwa kuwalea wapeleke kwa baba yao!!! Hunipendi mimi na hela zangu zichukie pia
itabidi nitulie mkuu niandike thread nyingine, kuelezea history ya mzee wangu tangu amuoe mama,na story hii nitakayoisimulia skusimuliwa na mama yangu mimi,bali nilisimuliwa na mama yake baba ambaye ni bibi yangu mimi. Yani hapo kumuacha mama akiwa na wiki mbili akiwa amejifungua na mdogo wangu huyo kichanga kuwa sababu si kweli ni tabia ya mzee toka ukuaji wake.Nimekuelewa, kwahiyo huyo mdogo wako akiyezaliwa 2011 na wiki mbili baadae baba yako akakimbia ndo alisababisha mgogoro wa baba na Mama yako?
Sijui unanielewa,?
KADRI MTOTO WA KIUME ANAVYOKUA NDIVYO ANAZIDI KUMUELEWA NA KUMSAMEHE BABA YAKOWakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo
Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.qq
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
We nae ukorofi tu😔Pumbaavu, we mtoto utakuwa bao la kupewa na Refa wewe, watoto walionyooka ni wale wa mabao kama anayofungwa Djigui Diarra
Mkuu pole sanaWakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo
Baba yangu aliondoka nyumbani 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke mwingine, akatuacha kakuna chakula wala matumizi yoyote ya mama na sisi wanafunzi, Ilibidi mama aanze vibarua ili tule na tusome mimi na dada yangu ninaemfuata.
Hata sisi tulipotoka shule ilibidi twende kwenye vibarua kwa ajiri ya chakula na madaftari, sabuni na matumizi mengine.qq
Nimepitia mateso makuu sana mpaka nimefka hapa nilipo kwa sababu ya baba yangu! Siku nyingine nitawaletea mkasa mzima ila kifupi namchukia mno baba yangu!
Mkuu usimchukie Baba yako tena na alikua na mke mdogo wanawake wanatabia ya kuharibu mahusiano ya kwanza ya Wanaume ili wao na watoto wao wapate raha, yani mara mia kua na Baba mlevi tu kuliko na kua na Baba anae penda wanawake sana mzazi kama anaependa wanawake lazima Nyumbani mambo yatakua magumu Sana na familia itaishi kwa tabu sana. Utakuta Baba kapata mchepuko nje uko sass pesa zote zinaenda uko na nyinyi nyumbani mna kula mlo mmoja na Mchepuko ndiyo anazidi kuroga.Mm ni mhanga tena bora ww , story yangu ni ndefu mno lakin nakupa tu kifupi baba alikua askari lakin sisi watoto wote hajatusomesha yaaan yeye ndo alikua kikwazo cha sisi kusoma, mimi kwa uwezo wake mungu nikasoma kati yetu watoto watatu , baba aliwafanyia watu connection wakawa ma askari lakin sisi watoto wake hakuwahi kuthubutu, story ni ndefu mno nakupa tu summary sitaki kusema mali alizokua anamilik, sitaki kusema watoto wa nyumba ndogo ambao sio wake walivyokula mali zetu,
ni story ndefu naweza andika kitabu , mimi mungu alinitendea muujiza nimesomeshwa na mzungu , kutoka german, na kipind hiko baba bado yupo kazini na sikuwahi dhubutu kumwambia matatizo yangu yule mzungu, nilipewa kadi ya benk mpk leo ninayo nilikua nawekewa ada na pocket money kila mwezi suala la alinilipiaje lipiaje ni suala jingine, nimemaliza chuo mzee wangu hajui km nimesoma, nilikua na chuki sana moyoni na sikuweza kusamehe, nilikaa muda mlefu sana nna chuki moyoni namchukia sana mzee wangu,
siku moja moyo ukaniambia nitoe sadaka kwa baba yangu yule yule ninaye mchukia , haikua rahis ila nilipata pesa nikanunua nguo nzuri sana nikatuma mtu akapeleka maana mda huo tulikua hatukai nae alitufukuza sis na mama yetu,
baada ya sadaka hiyo mim ndo nilipata kazi, hebu fikiria nimemaliza kozi ya afya nimekaa home miaka miwili kila sehem nakosa kazi, had kujitolea nakosa na ni miak 7 iliopita sio leo....................................