TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Pole sana kijana wangu ila bado nakupa neno, huyo bado ataendelea kuwa babako hadi siku unaingia kaburini.mkuu, mama aliyetoka kujifungua siku kumi na nne kuanza kufanya kazi sio mateso?
Watoto wadogo miaka 9 na dada yangu miaka 12 kufanya vibarua kwa ajiri ya chakula na mahtaji ya shule hayo si mateso.
Baba alishirikiana na Mama yako ukapatikana wewe, wkt mwingine kuna maisha ya kifamilia mamako anajua shida ilipoanzia na hawezi kukwambia.
Mambo ya wanaume kukimbia mke na watoto huwa sitaki kuamini ni mtu anaamka asubuhi na jioni harudi nyumbani kuna sababu tu.
Mimi siafiki hilo lililotokea ila bado nataka kujua (wewe hujui) sababu ya babako kukimbia ni nini?
Ongea vyedi na mamako akupe picha halisi then njoo hapa.