Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante mkuuThis is just so great! Mkuu unamawazo mapana sana! Bigup [emoji123][emoji123][emoji123]
asante princeUna mtoto ati? .hongera
tubu dhambi zako tuNaamini watu wengi hawaogopi kifo bali huogopa kutangulia. Kifo kipo ili watu wasijae duniani wakakosa nafasi ya makazi, ndo maana wafa na wengine wazaliwa. Ubaya wakutangulia ni kwamba unaviacha vitu vizuri sana duniani.
Hivi ikitoka wajua unakufa baada ya masaa 12 kuanzia sasa ni nini ungefanya cha mwisho kuridhisha nafsi yako!! Mimi ningepoteza mawazokwa kugegeda masaa yaliyobaki kuondoa stress.
Unatafuta tufani la matusi.Muislamu hawezi kuandika hivi..
Huyu atakua Kafiri.
Kweli wewe akili zako ni zangono hivi unawazazi kweli na wanaona wamepata mtoto mwema jitafakari mungu yupo tenda mema acha ujingaNaamini watu wengi hawaogopi kifo bali huogopa kutangulia. Kifo kipo ili watu wasijae duniani wakakosa nafasi ya makazi, ndo maana wafa na wengine wazaliwa. Ubaya wakutangulia ni kwamba unaviacha vitu vizuri sana duniani.
Hivi ikitoka wajua unakufa baada ya masaa 12 kuanzia sasa ni nini ungefanya cha mwisho kuridhisha nafsi yako!! Mimi ningepoteza mawazokwa kugegeda masaa yaliyobaki kuondoa stress.
Muislamu hawezi kuandika hivi..
Huyu atakua Kafiri.
Kweli wewe akili zako ni zangono hivi unawazazi kweli na wanaona wamepata mtoto mwema jitafakari mungu yupo tenda mema acha ujinga
Mara nyingi kipo hakuna taarifa unaweza toka nyumbani upo vizuri kbsa kiafya,unaaga familia, na watoto wanaagiza zawadi jioni ukirudi uwaletee lakini kumbe unakifuata kifo, unapanda boda au usafiri wowote njiani unapata ajali unakufa dakika kumi tu ulikuwa nyumbani ukicheka na familia yako.......huo ni mfano tuu hapo hutojua masaa 12 wala huo mgegedeo hautopata hiyo nafasi ya kukutanishwa na mgegedwa.....ni kujiandaa mapema tu kwani hatujui muda wala saa.