Nakufa baada ya masaa 12, nifanye nini?

Nakufa baada ya masaa 12, nifanye nini?

Ningeshinda ibadani kwa huo mda uliobaki.
 
Naamini watu wengi hawaogopi kifo bali huogopa kutangulia. Kifo kipo ili watu wasijae duniani wakakosa nafasi ya makazi, ndo maana wafa na wengine wazaliwa. Ubaya wakutangulia ni kwamba unaviacha vitu vizuri sana duniani.

Hivi ikitoka wajua unakufa baada ya masaa 12 kuanzia sasa ni nini ungefanya cha mwisho kuridhisha nafsi yako!! Mimi ningepoteza mawazokwa kugegeda masaa yaliyobaki kuondoa stress.
tubu dhambi zako tu
 
Ningefurahi sana kufa ila ningemuomba Mungu nisizaliwe tena bongo.nizaliwe newyork uko mbefele.niwagegede kina Rihana
 
Naamini watu wengi hawaogopi kifo bali huogopa kutangulia. Kifo kipo ili watu wasijae duniani wakakosa nafasi ya makazi, ndo maana wafa na wengine wazaliwa. Ubaya wakutangulia ni kwamba unaviacha vitu vizuri sana duniani.

Hivi ikitoka wajua unakufa baada ya masaa 12 kuanzia sasa ni nini ungefanya cha mwisho kuridhisha nafsi yako!! Mimi ningepoteza mawazokwa kugegeda masaa yaliyobaki kuondoa stress.
Kweli wewe akili zako ni zangono hivi unawazazi kweli na wanaona wamepata mtoto mwema jitafakari mungu yupo tenda mema acha ujinga
 
Aslan abadan hakuna ajuae siku au saa yake ya kuafa.....hivyo basi hakuna haja ya kuzungumzia mambo yaliyo juu ya uwezo wetu
 
Mara nyingi kipo hakuna taarifa unaweza toka nyumbani upo vizuri kbsa kiafya,unaaga familia, na watoto wanaagiza zawadi jioni ukirudi uwaletee lakini kumbe unakifuata kifo, unapanda boda au usafiri wowote njiani unapata ajali unakufa dakika kumi tu ulikuwa nyumbani ukicheka na familia yako.......huo ni mfano tuu hapo hutojua masaa 12 wala huo mgegedeo hautopata hiyo nafasi ya kukutanishwa na mgegedwa.....ni kujiandaa mapema tu kwani hatujui muda wala saa.
 
Mwenyezi Mungu anaweza akakufahamisha kuwa utakufa baada ya masaa 12, ndio anaweza.
Lakini ikawa wakati huo uko katika moja ya vitanda vya Hospitali, upo unatweta kama ng'ombe anayechinjwa na maumivu ya kila pahala, kila kitu unafanyiwa kuanzia kubwa hadi ndogo unasaidiwa. Wakati huo nafsi yako inaona lango la mauti lile pale. Na daktari keshathibitisha wewe utaondoka ni swala la muda tu.

Haya Gegeda sasa.
 
Ufala huo unatuambia unawaza ngono sishangai ndo maana una ID ya mto wa ngono
 
Kweli wewe akili zako ni zangono hivi unawazazi kweli na wanaona wamepata mtoto mwema jitafakari mungu yupo tenda mema acha ujinga

Mkuu [HASHTAG]#TusipangianeChaKuamini[/HASHTAG] kugegeda ndo mpango mzima. Wewe yatende hayo mema mwisho wa siku ni udongo tu ndo safari yako ya milele hiyo.
 
Point

Back
Top Bottom