Misunderstood
JF-Expert Member
- Aug 4, 2020
- 384
- 884
Ifike mahala wamasai tuheshimiwe[emoji57][emoji57][emoji57]mxiuTafuta mlinzi umpe nyumba yako kukulindia na umlipe mshahara kwa mwezi, huyu hajaomba kazi ya wamasai tuwe seriously.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ifike mahala wamasai tuheshimiwe[emoji57][emoji57][emoji57]mxiuTafuta mlinzi umpe nyumba yako kukulindia na umlipe mshahara kwa mwezi, huyu hajaomba kazi ya wamasai tuwe seriously.
Wala siyo uongo mkuuHaya majiji yanakusanya vigagula wa kutosha, nilisikia pale London kuna vigagula vya kufa mtu hadi wabongo wanakamatana ulozi pale kwa malkia...
Mango nipe koneksheni ya kupata dagaa Safi kauzuKaka nitakusaidia kwa uchache saaana maana Mimi pia nimekuja dar nikitokea kanda ya ziwa mkoa wa Geita, baba yangu pia ni mvuvi wa dagaa ziwa ziwa Victoria upande wa kasamwa butundwe, nitakupa mwongozo na changamoto nilizo kutana nazo Mimi kijana mwenzako. ni PM
Nimezaliwa Ocean road tangu Dar ikiitwa Mzizima.Ok sawa asante, nambie wewe hapo unataka msaada gani unao fanana na wa mtoa mada mkuu nikusaidie hapa hapa?
Ha ha ha. Rip in peace mkabila shujaaaNaona umoja ule wawatu wa kanda ya ziwa upo mstari wa mbele
Wewe na Mimi sote tupo Dar, sihitaji msaada wako kwa sasa labda baadae Kama nitahitaji nitakutafuta.[emoji120]Nimezaliwa Ocean road tangu Dar ikiitwa Mzizima.
Karibu kama kuna unalohitaji kujuwa kuhusu Dar.
Wewe ndio mpumbavu, tueleze ni kilometers ngapi kutoka city center mpaka Madale?Achimwene wa Makete usiwe mpumbavu,sihitaji Mlinzi maana pale site hakuna kitu kinachoweza kuibiwa,lakini kama kuna mhitaji anayetaka kujibanza panafaa,na usafiri wa kufika Tegeta Kibaoni ni rahisi
Teh teh teh......Ifike mahala wamasai tuheshimiwe[emoji57][emoji57][emoji57]mxiu
Madale siyo msaada huo, nipigie hesabu ya nauli kwanza kwenda na kurudi mfano kariakoo tu kwa siku ni shilling ngapi mara mwezi mmoja inakuwa shilling ngapi?Msaada alio utoa wa kumpa chumba ni mkubwa, mtoa mada yeye ndo ataamua kuishi ama kuto ishi sio wewe ambae pengine unasehem safi ya kulala. Ko jifunze kukaa kimya wakati mwingine.
Achimwene wa Makete ningefahamu walau kiwango chako cha Elimu ingekuwa ni jambo jema sana,Madale ya leo ni barabara ya Lami kutoka Tegeta Kibaoni mpaka Goba Njia 4,kuna Daladala na Bajaj za kutosha,usiwe mjinga kuleta habari za Diamond kujenga Madale na kuhama eti kwamba alijenga kimakosa,Madale kwenda Tegeta 500,Tegeta kwenda Kariakoo tsh 700,KWA hiyo kwa akili yako unamaanisha wanaoishi Madale hawafanyi shughuli zao City Centre kwa sababu ya umbali??unaleta ujuaji wakati unaishi chumba kimoja cha KUPANGA na hujui hata bei ya tofali moja[emoji17]Nihil Et Cum Deo
Wahindi wanatumia Calculator, wewe unatumia makalio kufikiri.Na huyu muombaji sio lazima afanyie shughuli zake KARIAKOO,Tegeta kuna soko,Bunju kuna soko,Mwenge kuna soko,Kawe kuna soko,Manzese kuna soko nk nk,ni yeye ndie atakayeamua wapi afanyie shughuli zake,acha kukariri suala la Kariakoo tu,eti hoja ya kwa nini Wahindi wanaishi Mjini na wana pesa,khaaaa,unajua upatikanaji wa zile Apartments wanazoishi hao Wahindi Mjini au unapayuka tu
Mkuu nimesoma vitabu mbali mbali pia hizo quote huwa nakutana nazo, vitabu wala quotes kamwe havitakupa pesa ila vinajenga imani tu, ni kama vile mtu anavyosoma quraan au biblia......naelewa on the ground mambo ni magumu mnooo lakini naelewa lengo langu ni lipi thuswhy nimeacha sehemu niliokua najitolea na ninalipwa ili nipambane.Acha kusoma Soma hzo quotes zitakupoteza uhalisia upo tofauti kabisa.