Nakuja Dar es Salaam kwa mara ya kwanza, nipeni muongozo huu


Kitu cha kwanza,ukiona mtu ana kwambia njoo DM achana nae,ata uwa ndoto zako.
 
Asante kwa kunielewa. Suala la biashara ya nguo ilikuwa ni kukuchalange nione unawaza nin coz binafsi nisinge kushaur ufanye hiyo Kama kuna dagaa. So pambana mkuu. Wenzangu nimeona wamekupa mawazo mazuri. Yote yafanyie Kaz. Utakapo kwama usisite kuuliza hapa hapa. Tutakusaidia
 
Shukrani
 
Mmhh! Usimgeuze fursa tu
 
Ukifika tafuta shugamami unampa hela kidogo, utalala, utakula na utaogeshwa chumbani na masoko yote utatembezwa.
 
Kama huna cha kucomment si uende jukwaa la chitchat au jukwaa la jokes?

Hivi watu wengine mmeumbwaje?
Ungekuwa Great Thinker ungeelewa nini ninacho tahadharisha, unaweza ukapata chumba na ndani ya nyumba hiyohiyo ukakumbana na tahadhari hii na ukafirisika.
 
Umeshasema asimuamin mtu.
Aise acha tu, hata hao wanaokaa hiyo nyumba nao wamesema hatumuamini.

But huku shamba kuna nyumba za nje unaweza ishi tena fresh tu, sema ni just 4 kilometers from njia kuu hii ya morogoro.

Hapa utaishi dogo vyumba vya nje huko. Hope kwa kufikia panatosha. Utalipa kodi
 
Anaweza kunifanyia kitini cha dagaa wabichi kwa elfu 5 nihamie huko nikaanze biashara?
 
Sawa mkuu nadhani utakua mteja wangu wa nguvu wa kwanza ngoja nikucheck PM
Mkuu Kibaha sio Dar es salaam ni mkoa wa Pwani.
Hongera kwa uthubutu na kila la heri kwenye biashara yako
 
Njoo na Shanga
 
Achimwene wa Makete usiwe mpumbavu,sihitaji Mlinzi maana pale site hakuna kitu kinachoweza kuibiwa,lakini kama kuna mhitaji anayetaka kujibanza panafaa,na usafiri wa kufika Tegeta Kibaoni ni rahisi
usijidanganye !! hako kanyumba kataibiwa koote mabati matofali na kiwanja kitapandwa miti mingi ghafla ukija hutaamini macho yako!!....utamkuta dalali anakiuza!! utaanza hee kulikoni....kesi inaanza upyaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…