bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Halafu ww mwalimu mbona una roho kubwaaaa,shida iko wapi akiitaja elimu yake ww nn kikuwashacho?????Unanikwaza kila unapo itaja as if ndio ticket.
Ulishwai kumsikia mbunge yule Msukuma. Kila anacho kitaja lazima aseme ana elimu ya Darasa la saba. Sijui inakusaidia nn
Sent using Jamii Forums mobile app
10 hadi 11 bila kukwama kokote.
Mvua muda huu hapa inanyesha, na treni inazidi kuchanja mbuga.Halafu ww mwalimu mbona una roho kubwaaaa,shida iko wapi akiitaja elimu yake ww nn kikuwashacho?????
Unazingua coz unakuwa mpinzani sana kwa huyu dogo wkt hata msaada huna.Shutup bhana muache dogo apambane kivyake na sio kujifanya unajua saaaaana ukatufanya na sie wengine tuanze kutembea bampa to bampa na ww.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapuuzi nyie huyu ni asset tayari treni ikitua au ikifika pale kuna watu kumi wa kumpokea bila yé-yé kujua mimi najuaMsimtishe kijana hajafanya kosa lolote, anatafuta maisha. Kama unaweza kumsaidia msaidie, kama huwezi, huwezi. Ila anaweza kuwa mjasiliarima mzuri mkubwa huko mbeleni, bila msaada wa yoyote kwenye hili jukwaa,
Jiamini tu, Pambana.
Piga moyo konde dogo maisha popote halafu riziki yako iko miguuni kwako achana na hayo maneno ya wanaokutisha mara ooooooh sijui dsm pana miiba,mara sijui pako hivi kwahiyo wanataka kutufanya tuwaone wao ma sterring sana kumudu kuishi dsm???wkt ni sehemu ya kawaida tu coz yawezekana dar pana maisha mepesi kuliko hata huku kwetuMvua muda huu hapa inanyesha, na treni inazidi kuchanja mbuga.
Asante mkuu! Nimekuelewa, wengi pia wameniambia hayo.Piga moyo konde dogo maisha popote halafu riziki yako iko miguuni kwako achana na hayo maneno ya wanaokutisha mara ooooooh sijui dsm pana miiba,mara sijui pako hivi kwahiyo wanataka kutufanya tuwaone wao ma sterring sana kumudu kuishi dsm???wkt ni sehemu ya kawaida tu coz yawezekana dar pana maisha mepesi kuliko hata huku kwetu
Dogo ninachoweza kukuusia tu ni kuwa uaminifu waweza kuwa mtaji wako wa kukutoa kimaisha,zaidi uwe na Juhudi,Nidhamu na utuhuruma kwa wengine hakika hivyo vitakutoa ktk maisha yako.
Zaidi zaidi Mungu akuongoze,akulinde na akutilie wepesi ktk utafutaji wako ila kumbuka kuuambia moyo wako kuwa
"MOYO TULIA MJINI KUNA VYA WATU"
Hapa namaanisha tamaa na mali za watu itupe hapo dirishani baada ya kusoma msg hii.EPUKA TAMAA KWA VITU VISIVYO VYAKO.
All the best.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo ume atract watu wa usalama sana kuna ambao umepanda nao njia nzima toka ulipitoa uzi huu dodoma wamepnda 13 n'a morogoro watakuwa 2 hawa wite watakusundikiwite bla wute wewe kujuwite île wamekutrakwite kwa mabehewute uko uko la sitate au la tisate utajuwite kifupi zimakodite ingiate bila kuwashate mbuuuuuuuuuu usikaguwite zimasimu yako moka kwenye pass Word igiza paasworrd ukishatoka daraja la mfugaleeeeeeeeeeeNdiyo mkuu, nimepanda hili dude, maana nauli ni sawa na bure 27,600 tu ndiyo bei. Siyo mbaya.
Huyu mpuuzi anakuset amepanda dodoma mpuuze kuwa makini wanakutrak wamekuona ni assezasset kwaoPiga moyo konde dogo maisha popote halafu riziki yako iko miguuni kwako achana na hayo maneno ya wanaokutisha mara ooooooh sijui dsm pana miiba,mara sijui pako hivi kwahiyo wanataka kutufanya tuwaone wao ma sterring sana kumudu kuishi dsm???wkt ni sehemu ya kawaida tu coz yawezekana dar pana maisha mepesi kuliko hata huku kwetu
Dogo ninachoweza kukuusia tu ni kuwa uaminifu waweza kuwa mtaji wako wa kukutoa kimaisha,zaidi uwe na Juhudi,Nidhamu na utuhuruma kwa wengine hakika hivyo vitakutoa ktk maisha yako.
Zaidi zaidi Mungu akuongoze,akulinde na akutilie wepesi ktk utafutaji wako ila kumbuka kuuambia moyo wako kuwa
"MOYO TULIA MJINI KUNA VYA WATU"
Hapa namaanisha tamaa na mali za watu itupe hapo dirishani baada ya kusoma msg hii.EPUKA TAMAA KWA VITU VISIVYO VYAKO.
All the best.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa tuko tunakufwatiiia buffet wamefunga ningekuitaUsinge hiyo tunaitafuta!
Wapuuzi nyie huyu ni asset tayari treni ikitua au ikifika pale kuna watu kumi wa kumpokea bila yé-yé kujua mimi najua
Kuna jamaa ananidokeza mikoa ya pwani inatumia gari za polisi zenye plate number za zanzibar nyekundu na wanyarwa......... wanaletwa kimyakimya uko behewa la 13
Dogo ume atract watu wa usalama sana kuna ambao umepanda nao njia nzima toka ulipitoa uzi huu dodoma wamepnda 13 n'a morogoro watakuwa 2 hawa wite watakusundikiwite bla wute wewe kujuwite île wamekutrakwite kwa mabehewute uko uko la sitate au la tisate utajuwite kifupi zimakodite ingiate bila kuwashate mbuuuuuuuuuu usikaguwite zimasimu yako moka kwenye pass Word igiza paasworrd ukishatoka daraja la mfugaleeeeeeeeeee