Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Huyu mpuuzi anakuset amepanda dodoma mpuuze kuwa makini wanakutrak wamekuona ni assezasset kwao

Hivi bia gani unakunywa achana na Gongo, mataputapu, jaribu decent spirit kama Konyagi mix it a little a bit, just friendly advice. Utakuwa kamili. Mwanaume. Ukilewa sana usije online, try to sleep.
 
Jamaa angesema anazamia South Africa, Australia, Uswiz nk hapa washauri wamgekuwa wengi sana lakini kwakuwa kasema Bongo bas ni mwendo wa kumbeza sijui ngozi nyeusi nani alituroga.....usikate tamaa kijana nenda ukapambane ipo siku utafanikiwa,......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepaki nguo zako kwenye shangazi kaja?

Yalishapigwa marufuku huku dar

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwetu tuna majina ya hiyo kitu. Shangazi oyomba na Wabimanya maki. Meaning Oyomba ni zile kelele za ile mifuko. Wabimanya maki ni kuhusu msiba maana huna muda wa kuazima bag hivyo ukija na huo mfuko ndo hivyo umefahamishwa saa ngapi?
 
Nyie ambao sio wapinzani naona mmekuwa sawa na mm mpinzani. Maana hata msaada hamtoi kabisa. Dogo atoa taarifa kama yupo onway to Dar mnajifanya hamjaona taarifa. Msaidieni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungetoa hata sh. Elfu 20 could sound better Better kuliko kukunja mgongo kuandika non sense
Sent using Jamii Forums mobile app
 
upo wapi saa hizi labda tunaweza kutana kwasababu na mimi nawahi kuja huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…