Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Free basics anatumia bureeeee
 
Jamaa huyo (Nadhani ni shoga)
Akaniuliza, unaweza kufuga kuku? Nikamwambia ndiyo, (kwa furaha kubwa) Akasema, kuna mama wa kichaga wiki mbili nyuma alikuwa anahitaji kijana wa kuhudumia kuku, kwahiyo kama uko tayari jioni uje nikupeleke kwake!
Hapo nikafurahi sana, tena sana, maana napenda sana kuhudumia kuku!
Basi tukaenda mpaka kwake, aise jamani nyie acheni, kumbe yule jamaa ni shoga kweli, nimefika kwake, mambo ya kunisaidia kuipata ile kazi ya kuhudumia kuku yakaisha, mala akaanza kunisifia kuwa nina maumbile mazuri, mala sijui nini, mambo mengi kweli, (Rejea mwanzo alivyokuwa anamsifia yule teja pale jangwani) Sasa jamaa mala anasema, eti, unavaa suruali saizi gani? Kuna suruali nataka nikupe, hebu simama hapo nikuone kiuno chako!
Sasa mpaka hapo, mimi nikawa nimeshagundua wazi huyu ni Shoga. Ila kwakuwa jamaa ni laini sana, sikuwa na shaka, maana mimi ni kijana mwenye nguvu, na yeye ni laini tu!
kwahiyo akiniletea ujinga, lazima nimzibue! Simu haiwezi kuandika maneno mengi ,naendelea hapo chini.
 
Mkuu nenda mwenge.bamaga
kwa shigongo unafaa kweli,kuwa mtunzi wa story

ngoja ni subscribe kabisa kwa ajili ya muendelezo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah kweli nzi hutembea na wanaofanana mzee siku ya kwanza mjinijana tu ushaanza umende..shauri yako hao mchicha mwiba ukimaliza naye anakuomba
 
ila wewe mbona kama unatafuta kiki mkuu???haya wacha tuendelee kuangalia Hili movie la kihindi
 
Huyu anaigiza tu, hakuna ukweli wowote kwenye nyuzi zake. Yaani utoke mkoa uje mjini kwa mara ya kwanza kupambana then kila mara una update online kuonyesha progress yako....!

Huyu ni mjanja tu mmoja yupo nyuma ya keyboard aki enjoy akili za watu.
 
Imani kitu kigumu sana kupatikana japo ni rahisi sana kupotea..iwe unachoandika ni kweli au la,jitahidi tu usivunje mioyo ya watakaokuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…