Mi nimewaza hivo pia,ukifuatilia vizuri ni ID mpya hii..haina hata mweziMkuu,
Ww ni Usalama,
Na hii ni mtihani uliopewa....
Umepewa mtihani wa kushawishi ni kwa namna gani unaweza pata msaada wa fedha pale unapoishiwa.....
Unajitahidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Panaitwa mataaNi sehemu moja hivi kuna Taa za kuruhusia magari. Sijafahamu ni wapi!
Chief tukitumia kigezo cha picha iliyotumwa na 13 Mega Pixel anaweza kuwa katika TISS mbona dogo anaonekana hata ukoko wa shingo hujamtoka huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Am 19 and am using jami8 forumWapo,
Ila huyu kwa umri aliokuwa nao ni mdogo sana.
Darasa la saba kwa umri huu, hawezi kuwa na exposure ya kuijua JF, kufungua email, kujiunga na kuchangia hivi.
Huyu hana hata 20yrs
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo jaribu kunisoma vizuriii. Me mtetezi wako tangu ukiwa Itigi. Hapo nilikua nawashangaa jamaa zangu.Mpaka hapo kaka hujaamini? Aise, kazi ipo uchumi wa viwanda.
Jamani ya kwanza ni ipii hiyo ebu ninong'oneze basi
Dogo ashatusua, hii thread inabaki kama ushahidi tuMie nilianza kumfuatilia tangu thread ya kwanza kabisa...muda na vituo alivyokuwa anataja vilikuwa vinaendana. Ningemuunganisha na poti mmoja aliekue anaescort hiyo safari na angemsaidia tu ..kwa bahati mbaya jamaa hakua zamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahahah tusubiri mrejesho wa jamaa wa barakudaNina wasiwasi pia na hyo ID ya megapixel
Dadequeeee aisee usinifananishe na mtu me ni Robot maana nnavotafutwa unaeza kuta mtu anauawa kwa kufanana na mimi
HahhahaUtajua tu, naendelea kukusanya taarifa kimya kimya. Muda ukifika utajua tu.
Swali zuri,Unapotumia simu za batani usipolog off Jf na una data hata kama hutumii inaonyesha upo onlineHiyo simu anachaji wapi? Maana yupo online muda wote
For your Information... Jana alikua hayupo online na tunaofatilia tukawa tunajiuliza kapatawa na nini mpk wengine wakatania kwamba katekwa, kaingizwa mjini, kaibiwa simu, simu imeisha chaji etc. Leo ndio kaingia online na kuleta mrejesho yaliyomsibu jana! Stop being too Judgemental guys.Smart phone yako ni mtaji tosha,usitake kutudanganya unatumia simu ya
button, ili kuwa member jf lazima
umiliki email(haipatikani kwa simu ya button),
Halafu hii kitu kwamba simulizi itaendelea kisa sijui nafasi, ni uongo ili utuaminishe kuwa unatumia simu ya button.
OK,labda unatumia freebasics lakini una charge vipi smartphone yako maana hutoki online,
Kigoma mwisho wa reliWapi?