Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nimeshafika hapa, jamaa alisema nimtafute, ajabu hata PM Hataki kunijibu.

Usipanik, JF PM siyo kama meseji ya simu kwamba anaona papo kwa pao, ni mpaka a-login ndo ataona.

Mpe kama saa moja, ukiona kimya tafuta gest ya kulala hukohuko ya sh 8,000/-, kesho asubuhi atakuwa ameshaona. Atakutafuta. Usilale nje, kwenye hela ulizopewa toa sh 8,000 upate pa kulala kwa usalama.
 
Nimeshafika hapa, jamaa alisema nimtafute, ajabu hata PM Hataki kunijibu.
Hujakosea. Ulipaswa kumualert hata kabla hujaanza safari na ikiwezekana ungemualert kila baada ya dakika chache. Huwez jua hapo Barakuda ni kazini kwake na sasa amesharud nyumban bila kukujulisha aidha baada ya kuona haufik au kwa kusahau tu. Kutojibu PM inatokana na yeye kutokuwa online au sababu nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa alimwambia dogo anamsubiria hapo akifika a-PM namba yake ..

Homosapiens
 
[emoji3][emoji3][emoji3]kwaiyo na ww ndo unaeka kibwagizo cha naendelea apo chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…