Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Hahaha Godzila pale nimekimbiza sana na rafiki yangu anaitwa Maganga alikuwa anacheza sana Stone miaka hiyo.Kwahiyo kina Temba walikuwa wanacheza Godzila,wakina Toby muuza matunda wote unawakumbuka? Godzila saivi kama ulivyosema hakuna tena uwanja
Hahahaaha Toby namsahau vipi mkuu?? Temba aisee kitambo sana mkuu inabidi nikija nikutafute aisee najua utakuwa umefanya harakati nyingi hasa umenihamasisha niliposikia Lunduno dah

Naendelea hapo chini...
 
Sorry, we me au ke?
 
Haya sasa, team inazidi kuongezeka!
Namna hii mtawakamata wengi wasiojitambua, wewe pia ni Tapeli mwenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaha Toby namsahau vipi mkuu?? Temba aisee kitambo sana mkuu inabidi nikija nikutafute aisee najua utakuwa umefanya harakati nyingi hasa umenihamasisha niliposikia Lunduno dah

Naendelea hapo chini...
Karibu sana mkuu.Lunduno kuna chumba cha kukaa huyu dogo ila sasa watu waliopitia replies zake wanasema ni tapeli.Sijawaamini na hata dogo pia sijamwamini ila akiwa mwaminifu kule kulala sio shida
 
Kwa kuwa umetoa namba ya mawasiliano na amesema anaipiga hiyo namba ngoja tumuone kama atafanya hivyo.

Naendelea hapo chini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…