monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Amesema hujib pm mbn namba yake ipo juu hapoJamani huyo ni muongo kasema yupo kwenye gari nimsubiri barakuda tabata nimeganda ofisini mpaka saa 3 usiku hajatokea toa namba hatoi...sasa mnaomsaidia endeleeni mimi nimejitoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umehitimisha vema. Kwa post yako hii nami naanza kumtilia mashaka.Jamani huyo ni muongo kasema yupo kwenye gari nimsubiri barakuda tabata nimeganda ofisini mpaka saa 3 usiku hajatokea toa namba hatoi...sasa mnaomsaidia endeleeni mimi nimejitoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bishop Muandikie Script huyu dogo ni MTUNZI mzuri wa Story.Duh, kwa hiyo tusubiri part two!...
Mkuu niko upande wako napingana na wote wanaomdhania janja ni tapeli! Mungu akubariki sana kwa vile ulivyotoa kwaajili yakeHuyu dogo anatafuta kazi hajaomba kutumiwa fedha, picha yake ipo hapo juu mimi nimekutana nae na kumsaidia kumpeleka kituoni na kumuonyesha magari ya kufika baracuda, atafanikiwa tuu na nyie mtabaki na aibu, Mungu ni wa ajabu sana jana hajalala nje, leo kapata hela ya kula na hatalala nje mnaobaki kuwa na mawazo hafifu ndio mnahisi ni tapeli, hajaomba mtu hela, anatafuta kazi hizo hela watu wamemtumia kwa kumuonea huruma...usihukumu mzee chukua muda wako mtafute ni mgeni dsm hapajui ila ni fighter na ana confidence za ajabu atatoboa tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wanaozamia meli na kwenda ulaya? Mbona wapo wengi wanakwenda South Africa au China hawajui wapi pa kufikia. Sijajibu hapa kwa kumtetea dogo ila naipinga hii hoja yako.Kwanza haiingii akilini mtu utoke nyumbani from no where uende mjini hujui unapokwenda kuanzia, especialy watu wa vijijini huwa ni waoga wa maisha atlist angekua mtu ambae ameshakaa mjini ni rahisi kwenda kutafuta maisha popote ila hawa wa vijijini mara nyingi huwa wanategemea kuvutwa na ndugu au marafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Anapatikana ngoja nimpigie.Sina salio bahati mbaya ningempigia nkaleta mrejesho. Au hapatikani?!?? All in all imani yangu inanituma kuamini jamaa ashashinda
Ukiangali comment ya dogo kufika baracuda ilikuwa ni saa mbili na nusu kama sikosei ila ni mida hiyo kabla ya saa tatu na alikuwa akisema eti kuwa eti wewe hujibu PM alizokutumia eti. Sasa na wewe umekaa ofisini unamsubiri eti mpaka saa tatu eti hujaona Pm eti. Dogo anaweza kuwa tapeli huyu eti.Jamani huyo ni muongo kasema yupo kwenye gari nimsubiri barakuda tabata nimeganda ofisini mpaka saa 3 usiku hajatokea toa namba hatoi...sasa mnaomsaidia endeleeni mimi nimejitoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cyndicate kweli hapa!!???Asante sana kwa kututhibitishia kwamba sio tapeli hata mm nilihisi km hatanii. Mungu atamfanyia wepesi apate kazi soon.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atlist tungepata uthibitisho kutoka kwa watu watatu au zaidi maana onthe other side unaweza kukuta hao jamaa ni mtandao mmoja, all in all tunahitaji kujiridhisha ndio nia yetu, hatupo hapa kwa ajili ya kumjudge ila lazima tujiridhisheKujiuliza ni lazima lakini napata ukakasi kuna member humu kakutna nae makumbusho na kampa nauli na picha ya huyo dogo ikapostiwa humu akiwa ndani ya bus. Ina maana kama dogo ni tapeli ina maana hata member mwenzetu aliekutana nae alishindwa kulitambua hilo??
Ile picha ya dogo inaweza kukushawishi kuamini dogo anahitaji msaada lakini pia ujuzi wake wa kuitumia JF kama kuquote na kutag watu ameajuaje haraka hivi na ilhali yeye ni darasa la Saba?? Sijui walomtumia pesa waliongea nae vipi japo kwa njia ya simu ni rahisi kupigwa changa la macho.
Kama ni kweli anahitaji msaada hapa tutajifunza kitu kwenye maisha kupitia safari ya huyu dogo na kama ni tapeli pia tutajifunza kitu kwenye maisha yetu. Tuendelee kuendelea hapo chini mkuu
Naendelea hapo chini...
Mtu amefika hadi baracuda kufuata kazi aliyoahidiwa bado wanamuona chenga, dogo kakimbia hali ngumu alipotoka kuja kutafuta maisha na simu yake ni tecno ya button hana smart phone, huko alipotoka kapigika haswaMkuu niko upande wako napingana na wote wanaomdhania janja ni tapeli! Mungu akubariki sana kwa vile ulivyotoa kwaajili yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona namba ametoa zipo kwenye huu uzi 0744472252 acha janja janjaJamani huyo ni muongo kasema yupo kwenye gari nimsubiri barakuda tabata nimeganda ofisini mpaka saa 3 usiku hajatokea toa namba hatoi...sasa mnaomsaidia endeleeni mimi nimejitoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu. Lengo ni kujiridhishaAtlist tungepata uthibitisho kutoka kwa watu watatu au zaidi maana onthe other side unaweza kukuta hao jamaa ni mtandao mmoja, all in all tunahitaji kujiridhisha ndio nia yetu, hatupo hapa kwa ajili ya kumjudge ila lazima tujiridhishe
Sent using Jamii Forums mobile app
So aliamua kuchomoka toka baracudaNimeongea naye.
Yupo Mbezi Magari saba (sina uhakika kama nimepatia.)
Ila amepata msamaria mwema wa kwenda kulala kwake hivyo huyo msamaria mwema amesema anatuma pikipiki imfuate hapo alipo.
So ndiyo anasubiri.
Ila kuhusu kazi ndiyo bado hajapata.