Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Hapa kuna kamchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Doubt

Naendelea hapo chini...
 
Mkuu me nimeongea nae pamoja huyo mwenyeji wake wa mbezi magari saba ameshampokea! Ondoa hofu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu haueleweki, haumaniki, nilifikiri upo serious. Kumbe mzee wa story unawaharibia wengine wenye shida za ukweli.
 
yaani unakuja mjini huna hata mia,dogo panda treni rudi kwenu malinda yako yako hatarini sana
 
usitiririke sana hapa mkuu ni bora uendelee kwa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…