Dogo nimefrahi kuongea na wewe Niko hapa mbezi kwa yusuph ni jirani na hapo magari saba kesho tutaonana! Hakika mungu ni mwema kamwe hamtupi mja wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea na mwenyeji wake au dogo mwenyewe?? Ongea nae mwambie huyo mwenyeji atupe mrejesho na atuhakikishie kama yupo na dogoMkuu me nimeongea nae pamoja huyo mwenyeji wake wa mbezi magari saba ameshampokea! Ondoa hofu
Sent using Jamii Forums mobile app
Alisema jamaa ni wa JF, ni yupi huyo atupe mrejeshoSijahukumu nimetoa mtazamo.. siwez sema tapeli.. najua nami niliyoyapita na ninayoyapitia... ukizingatia nishaomba msaada humu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mkuu hongera kwa moyo wa msaada!
Dogo umetuweka macho mpaka saa sita hii hata kutuambia ahsante. Poa tuNimefika Kwa Jamaa, Na Hapa Nimemaliza Kuoga. Naenda Kulala. Kesho Wakuu.
jf inatoa msaada wa mawazo tu,na si kutoa fedha au mahali pa kulala
Aiseee....Dogo umetuweka macho mpaka saa sita hii hata kutuambia ahsante. Poa tu
Naendelea hapo chini...
Nahisi jamaa alimpigia simu. Na siyo kila mtu anapenda kutambulisha I'd yake.
Dada Mane,sio kweli mkuu ..wtu wana moyo wa kusaidia sana tu
Atusaidie sasa gps inasoma wap aseeBUMIJA I think now everything is well and good!
Mkuu aise kila la kheri,
Sali sana, jiweke mikononi mwa Mola akulinde!!
Hata kukaa macho mpaka sasa kwenye huu uzi pia ni msaada,, si eti mamaa??sio kweli mkuu ..wtu wana moyo wa kusaidia sana tu
Ushatoka Morogoro kumbe?Nahisi jamaa alimpigia simu. Na siyo kila mtu anapenda kutambulisha I'd yake.
Mfano kama Mimi ningetaka kumsaidia alale kwangu ningempigia na nisingemwambia I'd yangu.
Na Mimi nimeajiriwa tu sina kampuni .Kama upo Tabora Ni Pm uje wiki ijayo hapa Office Fulani.Mkuu hongera kwa moyo wa msaada!
Naomba lift na.mimi nipate kazi boss wangu
Hata kukaa macho mpaka sasa kwenye huu uzi pia ni msaada,, si eti mamaa??
Naendelea hapo chini...
😂😂😂..sema jamaa naye waruwaru😂Next episode kesho[emoji23][emoji23].
Je atapata kazi?
Je aliyempokea atamsitiri kwa muda gani?
Usikose kesho[emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifananisha itakuwa.Ushatoka Morogoro kumbe?
Kila la heri mkuuNimefika Kwa Jamaa, Na Hapa Nimemaliza Kuoga. Naenda Kulala. Kesho Wakuu.