Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Dogo nimefrahi kuongea na wewe Niko hapa mbezi kwa yusuph ni jirani na hapo magari saba kesho tutaonana! Hakika mungu ni mwema kamwe hamtupi mja wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu me nimeongea nae pamoja huyo mwenyeji wake wa mbezi magari saba ameshampokea! Ondoa hofu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea na mwenyeji wake au dogo mwenyewe?? Ongea nae mwambie huyo mwenyeji atupe mrejesho na atuhakikishie kama yupo na dogo

Naendelea hapo chini...
 
Nahisi jamaa alimpigia simu. Na siyo kila mtu anapenda kutambulisha I'd yake.
Mfano kama Mimi ningetaka kumsaidia alale kwangu ningempigia na nisingemwambia I'd yangu.
Ushatoka Morogoro kumbe?
 
Back
Top Bottom