Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Hahahaaa Kwakweli.
Hatokaa asahau safari yake ya maisha[emoji23][emoji23]

Tottenham Hotspurs Motto: To Dare Is To Do.

Dogo atafanikiwa kwa sababu hatua ya kwanza kaivuka, kesho atapata pa kuanzia maisha.

Kila mtu ana jinsi ambavyo Mungu amempangia, huyu hii ndo njia aliyopangiwa pia.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…