Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kwani ww wa wapi??
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Kweli kabisa. Mungu ni mwemaTottenham Hotspurs Motto: To Dare Is To Do.
Dogo atafanikiwa kwa sababu hatua ya kwanza kaivuka, kesho atapata pa kuanzia maisha.
Kila mtu ana jinsi ambavyo Mungu amempangia, huyu hii ndo njia aliyopangiwa pia.
It's you
Kweli kabisa. Mungu ni mwema
alafu huyo ndo baba swalehe mwenyeweasantee
๐๐๐alafu huyo ndo baba swalehe mwenyewe
Mkuu , dont listen to this mango pikos[emoji23][emoji23][emoji23]
๐๐nimecheka kwa ngv๐
Halafu pia kuna baadhi ya Id katika huu uzi ni za mwezi december na tarehe hazijapishana sana na comment zao zinaendana sana. Wait tuone tusijudge kwanza kabla hatujaujuwa mwisho wa huu uzi
Naendelea hapo chini...
cc aise๐๐๐msalimie baba swalehe mkuu
Hebu kamsaidie mwenzako huko ๐๐๐๐๐๐๐๐hii nilikua sijaiona ๐๐๐yaan huyu ni comedian kbs
Sawa mkuu ngoja niende!Nimekutumia PM, isome.
We chizi kweli, ungekua karibu ningekupa adhabu ya kuamkia clinic kesho asubuhiNext episode kesho[emoji23][emoji23].
Je atapata kazi?
Je aliyempokea atamsitiri kwa muda gani?
Usikose kesho[emoji23][emoji23][emoji23]
baba swalehe you call me whaaaat,,๐ก๐ก๐ก ngoja nilalee๐๐nimecheka kwa ngv๐
Jamani huyo ni muongo kasema yupo kwenye gari nimsubiri barakuda tabata nimeganda ofisini mpaka saa 3 usiku hajatokea toa namba hatoi...sasa mnaomsaidia endeleeni mimi nimejitoa
Sent using Jamii Forums mobile app