Mkuu huyo muongo nimemwambia anipe namba hajanipa wala kufika kweli anacheza na akili zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Akileta usanii hio kesho hata mi nitamtilia mashaka ila mpk sshv mm nina imani kwamba sio tapeli, nasubiri tu kujua hio kesho km atapata hio kazi au laa. Asipopata nami nitamchangia chochote kidogo apate kula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kushituka usingizini nimeendelea tena kufuatilia kwa ukaribu hii mada..Soma vizuri maandishi ya jamaa utajua msanii ni nani kati ya hao wawili.
Siyo lazima apate kazi kwa mtu wa majigambo na manyanyaso namna hiyo.
Mtu unamwita mtu kwa kumnyanyapaa na hapo ndo hujampa hiyo kazi, ukimpa itakuwaje?
Hilo nimelishitukia mkuu..nahisi iko planned.Naona ID nyingi za wanaomsupport zimejiunga Jf January 2019!!!
Akili Kichwani.
Tuendelee...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi ulivyo andika inamanisha lasaba hawezi?Huyu jamaa ni darasa la saba,
Lkn anajua kum-mensheni mtu,
Anajua kuandika vizuri,
Anajua quote,
Anajua kuacha nafasi baina ya neno nano...
Huyu atakuwa anafanya UTAFITI.
NI MTU NA ELIMU YAKE KABISA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi namsupport na ID yangu ya 2015 kwahio na mimi tapeli?Naona ID nyingi za wanaomsupport zimejiunga Jf January 2019!!!
Akili Kichwani.
Tuendelee...
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah roho mbaya ingekuwa inaleta hela mkuu ungekuwa km Billgate aisee.Huyu ndo Muha aise alietoka kigoma toka majuzi mpaka Leo na anaomba msaada lakini
1;simu yake haiishi chaji toka tarehe moja jioni mpk Leo tarehe 4 na anaendelea kudunda NATO
2;amefika na tsh 1,400 lakini simu yake ina bandle na yupo online mda wote
3;ni muombaji msaada pekee ambae ameishia darasa la saba tena la kigoma lakini anajua vizuri kujieleza tena kwa kiswahili fasaha na kuelewa comments zote hata za kiinglish
4;ndo muombaji msaada pekee ambae hataki kuonana na wanaemwambia akutane nao kuanzia Valentine, barakuda,kona bar nk
5; ni muombaji pekee ambae anawaita akili kisoda watu wanachallenge kwa maswali
Sent using Jamii Forums mobile app
Dead body, utampokeaje? (utani)Panda gari zinazoenda Gongo la mboto halafu shukia Ukonga Mombasa.Me nitakupokea stand hapo.Ukifika ni PM
Hii yote imetoka wapi mkuu.Maisha ni Vita ambae yupo vitani huwa hana ngonjera kama zako.. Shoga uwa ana mshobokea wa aina yake.. Una Smartphone harafu unataka ufikie kwa watu na misaada ya kipuuzi..! kiufupi wewe ndio unataka Mkunio.
Dar jiji la kibiashara halina tofauti na Majiji yoyote Duniani kumuongelea Mwanaume wa Dar au vitu vinavyo shabikia Ushoga ni Ungese pia.
Be a Smart Rider..unavyo kuja ndio utavyo ondoka hivyo hivyo.. Binafsi kila kitu naona umetunga kama kweli weka ushahidi wa Picha. Unataka umaarufu kunuka kwenye mitandao.
Binafsi nina uwakika asilimia 99.999 wewe huna linda ndio maana una usubutu wa kuandika Upuuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii yote imetoka wapi mkuu.
Umefuatilia kuanzia ukurasa wa kwanza mpka hapa? Au umeishia njiani ukaamua ku coment?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mangi kausha basi mkuu unaweza kumuondolea msaada wkt akawa sivyo unavyomdhania sasa huoni km akipata tabu zaidi utakuwa na fungu lako la dhambi wkt kuna watu walikuwa na moyo wa kutaka kumsaidia na ww ukawatia hofu kwa kitu ambacho sio kweli?Huyu kama sio assignment kapewa na TISS, basi itakuwa anafanya research ya chuoni huko.
Huyu yupo hapa kwa kazi maalumu, na ndio maana katuandaa kisaikolojia katika mada zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umelisoma vizuri jina la mwandishi wa uzi huu?Jina Kiwembe... Kinanyoa Upara, Gerezani = Upara
Photo with big Smile inaonekana huyo mtu kwenye picha anajua anacho kifanya.
All the Best The Rider from Kigoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamitto hili si ndio wanaitaga povu eti!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti???Ww ndo muongo unacheza na akili zetu! Huyu dogo alivofika hapo Barakuda ilikua mida ya saa 2 akaleta mrejesho hapa tukamwambia akusubirie hapohapo Barakuda avute subra. ila ww ulikua kimya ulishindwa nini hata kujibu comment mda ambao yy kafika huko? Ulitaka akufate kazini, Kwani yy anapajua hapo kazini kwako angalau ungempa namba yako ya simu ndo uanze kumhukumu kwamba hajakutafuta. Muogope Mungu ww kaka, unasema kakataa kukupa namba yake wakati namba yake ipo hapahapa kwenye Thread, na kila anaemuomba namba hasiti kumpa, ulivoona kaenda mbezi ndo umejitokeza. acha kumchafua mwenzio sio vizuri Muogope Mungu jamani. Dah!
Sent using Jamii Forums mobile app