Huyu ndo Muha
aise alietoka kigoma toka majuzi mpaka Leo na anaomba msaada lakini
1;simu yake haiishi chaji toka tarehe moja jioni mpk Leo tarehe 4 na anaendelea kudunda NATO
2;amefika na tsh 1,400 lakini simu yake ina bandle na yupo online mda wote
3;ni muombaji msaada pekee ambae ameishia darasa la saba tena la kigoma lakini anajua vizuri kujieleza tena kwa kiswahili fasaha na kuelewa comments zote hata za kiinglish
4;ndo muombaji msaada pekee ambae hataki kuonana na wanaemwambia akutane nao kuanzia Valentine, barakuda,kona bar nk
5; ni muombaji pekee ambae anawaita akili kisoda watu wanachallenge kwa maswali
Sent using
Jamii Forums mobile app