Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Kama Akileta usanii hio kesho hata mi nitamtilia mashaka ila mpk sshv mm nina imani kwamba sio tapeli, nasubiri tu kujua hio kesho km atapata hio kazi au laa. Asipopata nami nitamchangia chochote kidogo apate kula.

Sent using Jamii Forums mobile app

Soma vizuri maandishi ya jamaa utajua msanii ni nani kati ya hao wawili.

Siyo lazima apate kazi kwa mtu wa majigambo na manyanyaso namna hiyo.

Mtu unamwita mtu kwa kumnyanyapaa na hapo ndo hujampa hiyo kazi, ukimpa itakuwaje?
 
Baada ya kushituka usingizini nimeendelea tena kufuatilia kwa ukaribu hii mada..
Nimegundua kuna ID kadhaa mpya,zinatumia Nguvu kubwa mno kumtetea mleta mada..yaan hawataki watu wa reason pale wanapo hisi harufu ya utapeli..
Naendelea kufuatilia kwa ukaribu mwisho wa hii thread..
 
Huyu ndo Muha aise alietoka kigoma toka majuzi mpaka Leo na anaomba msaada lakini
1;simu yake haiishi chaji toka tarehe moja jioni mpk Leo tarehe 4 na anaendelea kudunda NATO

2;amefika na tsh 1,400 lakini simu yake ina bandle na yupo online mda wote

3;ni muombaji msaada pekee ambae ameishia darasa la saba tena la kigoma lakini anajua vizuri kujieleza tena kwa kiswahili fasaha na kuelewa comments zote hata za kiinglish

4;ndo muombaji msaada pekee ambae hataki kuonana na wanaemwambia akutane nao kuanzia Valentine, barakuda,kona bar nk

5; ni muombaji pekee ambae anawaita akili kisoda watu wanachallenge kwa maswali

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah roho mbaya ingekuwa inaleta hela mkuu ungekuwa km Billgate aisee.

Mbona hoja zako za kitoto sana kuzitumia kujudge loyality ya mtu?

Eti simu yake haiishi charge
Ameishia darasa la saba la kigoma lakini anaweza kujieleza vizuri sasa tuseme unamuonea wivu kuwa darasa la saba anakuzidi ww graduate kujieleza mfano wa Shudu ulizoandika hapa.

Acha uzwazwa mkuu maisha yana mengi wengine walishindwa kusonga mbele kwa sababu nyingine na sio uwezo wa kuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ni Vita ambae yupo vitani huwa hana ngonjera kama zako.. Shoga uwa ana mshobokea wa aina yake.. Una Smartphone harafu unataka ufikie kwa watu na misaada ya kipuuzi..! kiufupi wewe ndio unataka Mkunio.

Dar jiji la kibiashara halina tofauti na Majiji yoyote Duniani kumuongelea Mwanaume wa Dar au vitu vinavyo shabikia Ushoga ni Ungese pia.

Be a Smart Rider..unavyo kuja ndio utavyo ondoka hivyo hivyo.. Binafsi kila kitu naona umetunga kama kweli weka ushahidi wa Picha. Unataka umaarufu kunuka kwenye mitandao.

Binafsi nina uwakika asilimia 99.999 wewe huna linda ndio maana una usubutu wa kuandika Upuuzi.

Hii yote imetoka wapi mkuu.

Umefuatilia kuanzia ukurasa wa kwanza mpka hapa? Au umeishia njiani ukaamua ku coment?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kama sio assignment kapewa na TISS, basi itakuwa anafanya research ya chuoni huko.

Huyu yupo hapa kwa kazi maalumu, na ndio maana katuandaa kisaikolojia katika mada zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mangi kausha basi mkuu unaweza kumuondolea msaada wkt akawa sivyo unavyomdhania sasa huoni km akipata tabu zaidi utakuwa na fungu lako la dhambi wkt kuna watu walikuwa na moyo wa kutaka kumsaidia na ww ukawatia hofu kwa kitu ambacho sio kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina Kiwembe... Kinanyoa Upara, Gerezani = Upara

Photo with big Smile inaonekana huyo mtu kwenye picha anajua anacho kifanya.

Maisha ya juu ya wengine yanaenda kwa namba kama Kiwembe 023

All the Best The Rider from Kigoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww ndo muongo unacheza na akili zetu! Huyu dogo alivofika hapo Barakuda ilikua mida ya saa 2 akaleta mrejesho hapa tukamwambia akusubirie hapohapo Barakuda avute subra. ila ww ulikua kimya ulishindwa nini hata kujibu comment mda ambao yy kafika huko? Ulitaka akufate kazini, Kwani yy anapajua hapo kazini kwako angalau ungempa namba yako ya simu ndo uanze kumhukumu kwamba hajakutafuta. Muogope Mungu ww kaka, unasema kakataa kukupa namba yake wakati namba yake ipo hapahapa kwenye Thread, na kila anaemuomba namba hasiti kumpa, ulivoona kaenda mbezi ndo umejitokeza. acha kumchafua mwenzio sio vizuri Muogope Mungu jamani. Dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamitto hili si ndio wanaitaga povu eti!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti???

Naendelea hapo chini...
 
Back
Top Bottom