Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Hilo nimelishitukia mkuu..nahisi iko planned.
Mkuu kamwe ubinaadamu au wema haufundishwi isipokuwa roho mbaya ukipewa notes na lecture kiasi unaweza kufumua misonge ya kufa mtu km una interest ya namna hiyo so wala usitafute sababu za ID mpya kusupport hisia zako na za wengine kutotaka kutoa msaada kwa kigezo cha ID mpya zaidi zaidi ungemuuliza MELO na Vijana wake ili ujuemtu mmoja ana uwezo wa kumiliki ID ngapi bila kushtukiwa?

Km hauna msaada ni roho kubwa pekee ndio inayoweza kukusukuma kutumia nguvu nyingi kumkwamisha mwenye kuomba msaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu dogo sio tapeli boss.. ni kweli..sema ana kaukomedi fulan..
 


duh bas huyu.kaka nilimwamini..khaa!maskini mie ntakuwa wa mwisho kuaminj huyu ni tapeli
 
Hili povu lote la nini mzee?
 
Aiseee hii balaa ila kama Wanapitisha bakuli la kumchangia hapa harufuu ya Utapeli ipoo.. Haiwezekani watu watatu wotee waliotaka kumsaidia waingie mitiniii sitaki kuamini badoo...[emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app


mhh unawajua wakazi wa dar ww unawasikia...watu wa dar maisha walishapoteza neno utu
 
Taja hizo ID
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…