kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee baba kuwa makini usije kukuta Bumija ni beberu mwenzioWanaume sijui tumeumbwa vipi,!?!?! Tuna upendo saaana, ghafla nshaanza kukupenda.
Mkuu kamwe ubinaadamu au wema haufundishwi isipokuwa roho mbaya ukipewa notes na lecture kiasi unaweza kufumua misonge ya kufa mtu km una interest ya namna hiyo so wala usitafute sababu za ID mpya kusupport hisia zako na za wengine kutotaka kutoa msaada kwa kigezo cha ID mpya zaidi zaidi ungemuuliza MELO na Vijana wake ili ujuemtu mmoja ana uwezo wa kumiliki ID ngapi bila kushtukiwa?Hilo nimelishitukia mkuu..nahisi iko planned.
Mbona povu sana mkuu au na wewe ni mlaini?Sio povu we kilaza! Ndo maana hata moyo wa kusidia mtu umetoka siku hizi, kila mtu afe kivyake.
Unatoa msaada kwa mtu, then baadaye anakulamba kisogo, anakusema jinga hili.
Amesaidiwa, anakuja kutuambia yule ni shoga, mfano akawa si shoga inakuwaje? Nyoko wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
😶😶😶jaman mistari gan tena?😂😂manengelo wangu kwa nn unampiga mtoto wa watu mistari?
😂😂😂Uko wapi nije unipokee Mkuu?!? Kesho asubuhi naanza safari kutoka Bukoba
kanaonekana kajanjaaAliye mpakia kwenda barakuda na anamtetea kweli kweli I'd yake mpya ya 2019 katuma na hiyo picha yake dogo yupo ndani ya Gari swali yangu ww mpiga picha je ile Gari ni dala dala au private car?maana kwenye picha kuna mambo unaweza kuya soma.View attachment 986346
Mpaka nimefikia kuwa bibi nimekutana na matapeli wengi mjukuu wangu, kuna mmoja humu alikuja alilia shida kumbe ni tapeli.
😂😂😂Mzee baba kuwa makini usije kukuta Bumija ni beberu mwenzio
Naendelea hapo chini...
huyu dogo sio tapeli boss.. ni kweli..sema ana kaukomedi fulan..Baada ya kushituka usingizini nimeendelea tena kufuatilia kwa ukaribu hii mada..
Nimegundua kuna ID kadhaa mpya,zinatumia Nguvu kubwa mno kumtetea mleta mada..yaan hawataki watu wa reason pale wanapo hisi harufu ya utapeli..
Naendelea kufuatilia kwa ukaribu mwisho wa hii thread..
Sawa mkuu.huyu dogo sio tapeli boss.. ni kweli..sema ana kaukomedi fulan..
Ww ndo muongo unacheza na akili zetu! Huyu dogo alivofika hapo Barakuda ilikua mida ya saa 2 akaleta mrejesho hapa tukamwambia akusubirie hapohapo Barakuda avute subra. ila ww ulikua kimya ulishindwa nini hata kujibu comment mda ambao yy kafika huko? Ulitaka akufate kazini, Kwani yy anapajua hapo kazini kwako angalau ungempa namba yako ya simu ndo uanze kumhukumu kwamba hajakutafuta. Muogope Mungu ww kaka, unasema kakataa kukupa namba yake wakati namba yake ipo hapahapa kwenye Thread, na kila anaemuomba namba hasiti kumpa, ulivoona kaenda mbezi ndo umejitokeza. acha kumchafua mwenzio sio vizuri Muogope Mungu jamani. Dah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee hii balaa ila kama Wanapitisha bakuli la kumchangia hapa harufuu ya Utapeli ipoo.. Haiwezekani watu watatu wotee waliotaka kumsaidia waingie mitiniii sitaki kuamini badoo...[emoji22][emoji22][emoji22]huyu dogo sio tapeli boss.. ni kweli..sema ana kaukomedi fulan..
Hili povu lote la nini mzee?Mkuu kamwe ubinaadamu au wema haufundishwi isipokuwa roho mbaya ukipewa notes na lecture kiasi unaweza kufumua misonge ya kufa mtu km una interest ya namna hiyo so wala usitafute sababu za ID mpya kusupport hisia zako na za wengine kutotaka kutoa msaada kwa kigezo cha ID mpya zaidi zaidi ungemuuliza MELO na Vijana wake ili ujuemtu mmoja ana uwezo wa kumiliki ID ngapi bila kushtukiwa?
Km hauna msaada ni roho kubwa pekee ndio inayoweza kukusukuma kutumia nguvu nyingi kumkwamisha mwenye kuomba msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee hii balaa ila kama Wanapitisha bakuli la kumchangia hapa harufuu ya Utapeli ipoo.. Haiwezekani watu watatu wotee waliotaka kumsaidia waingie mitiniii sitaki kuamini badoo...[emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu wanaoutumia majina yasioeleweka afu wakaweka picha za warembo wasiumie tukiwatongozaMzee baba kuwa makini usije kukuta Bumija ni beberu mwenzio
Naendelea hapo chini...
Niko stendi hapa sijui nipande magari ya wapi?!??[emoji23][emoji23][emoji23]
Baada ya kushituka usingizini nimeendelea tena kufuatilia kwa ukaribu hii mada..
Nimegundua kuna ID kadhaa mpya,zinatumia Nguvu kubwa mno kumtetea mleta mada..yaan hawataki watu wa reason pale wanapo hisi harufu ya utapeli..
Naendelea kufuatilia kwa ukaribu mwisho wa hii thread..