Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Kuna jamaa ana duka kubwa kama la akina Mangi toka Rombo.Ukifika Dar utakuta ndugu zako wanauza kahawa!mtaji sidhani hata dola 4usd inafika kila la kheri mkuu!itakuchukua 20years kutoboa kimaisha
Sent by Diaspora
Kapata mtaji kwa kuuza kahawa. Mwazo alianza kutembeza ya mtu anapeleka hesabu mwishoni yeye ndio alikuwa bosi anapokea hesabu toka kwa vijana wake.
Kwa siku alikuwa anapokea zaidi ya 60,0000/- na halipi kodi wala ushuru wowote.
Kudharau kazi ndio kuna tuponza wengi. Hiyo hesabu ni zaidi ya 1.8 milion kwa mwezi amewazidi zaidi ya 40% ya kipato cha wana JF wengi. Hana Income Tax, VAT, PAYEE, Makato ya Social Fund, HESLB, n.k.