Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Ukifika Dar utakuta ndugu zako wanauza kahawa!mtaji sidhani hata dola 4usd inafika kila la kheri mkuu!itakuchukua 20years kutoboa kimaisha

Sent by Diaspora
Kuna jamaa ana duka kubwa kama la akina Mangi toka Rombo.
Kapata mtaji kwa kuuza kahawa. Mwazo alianza kutembeza ya mtu anapeleka hesabu mwishoni yeye ndio alikuwa bosi anapokea hesabu toka kwa vijana wake.

Kwa siku alikuwa anapokea zaidi ya 60,0000/- na halipi kodi wala ushuru wowote.

Kudharau kazi ndio kuna tuponza wengi. Hiyo hesabu ni zaidi ya 1.8 milion kwa mwezi amewazidi zaidi ya 40% ya kipato cha wana JF wengi. Hana Income Tax, VAT, PAYEE, Makato ya Social Fund, HESLB, n.k.
 
Hahahah uzi wetu wameufuta wameturudisha kwenye trailer bahana series yetu. Halafu wewe jana ulillala mapema sana why???

Naendelea hapo chini...
nimelala 00:46 na ilikuwa kama vile sijalala maana naiota tu hii series😅😅😅😅😅
 
bas aanzishe hyo biashara..tena huko hukk.magari 7
Mane hii safari ya dogo ukiifikiria sana bhana ni vile mungu ana miujiza yake usije kushangaa dogo akatoboa maisha akaja kuwa "Mcharo kawa mtaamu". Ukiangalia walio fanikiwa kimaisha wengi wanachukuwa maamuzi magumu yanayo wafanya waishi katika vipindi vigumu kwanza. Msije kumtafuta tu na kusema " Aise kawa mtaamu"

Naendelea hapo chini...
 
Kuna jamaa ana duka kubwa kama la akina Mangi toka Rombo.
Kapata mtaji kwa kuuza kahawa. Mwazo alianza kutembeza ya mtu anapeleka hesabu mwishoni yeye ndio alikuwa bosi anapokea hesabu toka kwa vijana wake.

Kwa siku alikuwa anapokea zaidi ya 60,0000/- na halipi kodi wala ushuru wowote.

Kudharau kazi ndio kuna tuponza wengi. Hiyo hesabu ni zaidi ya 1.8 milion kwa mwezi amewazidi zaidi ya 40% ya kipato cha wana JF wengi. Hana Income Tax, VAT, PAYEE, Makato ya Social Fund, HESLB, n.k.
Yani huyoo fwala ana dharau biashara za watu...!! Japo kutoka kwenye kuuza kahawa yataka uwe na mipango hasaa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani huyoo fwala ana dharau biashara za watu...!! Japo kutoka kwenye kuuza kahawa yataka uwe na mipango hasaa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Amini usiamini kuna kijana anaitwa Miki yupo kule Kitunda katoka kihivyo.

Kuna vijana Muha toka Kigoma zaidi ya watatu nawajua wametoka na kahawa.

Kuna Mangi sasa yupo kati 43 - 48yrs amesomesha watoto private school kwa biashara ya kahawa. Tena huyu hana vijana anauza mwenyewe ndoo 2 za lita 20 za kahawa na tangawizi lita 20 kwa siku.
 
We jamaa shika adabu yako!Sisi hatujaanza kuhama kigoma leo.Tangu enzi za utumwa tuliamishw kutoka kongo nk kuletw kigoma na sehemu mbalimbali za dunia.watu w kigoma wamehamiaDar na miji mbali mbali wakati makabila mengine yakiwa maporini sana ndio maana ni watu w kigoma walioweza kumiliki maeneo sehemu kama kariakoo, miji yote ta mwanza, Tabora, Morogoro nk.Acha kutukana watu waliokuzidibakili tangu zamani.
Haya maghambo ni bukhe bukhe mgabo
 
Back
Top Bottom