Kaz gan huko zaid ya kuajiriwakatavi mkuu
Sawa sasa nimemtumia namba pm na kwenye simu yake ambayo kwa sasa haipatikani halete usanii mwingine kesho aone
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimempigia simu jamani mwambie a screeshot simu zake za leo tano za mwisho nimemwambia akishindwa magari saba huko aseme nimuelekeze sasa sina zaidi halafu baad ya kuongea nae nimejifunza kituMbona aise kasema haujamtumia namba yako PM, tumuamini nani? Kama haupo serious kumsaidia bora uwe msomaji kuliko kutoa false information ndomana watu wengine wanamuhisi ni tapeli kwajili yenu nyie mnaomsanif.. njoo huku, njoo kule halaf akifika kituoni hamjitokezi
Namba yako inaishia ngapi?Nimempigia simu jamani mwambie a screeshot simu zake za leo tano za mwisho nimemwambia akishindwa magari saba huko aseme nimuelekeze sasa sina zaidi halafu baad ya kuongea nae nimejifunza kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini umejifunza rafikiNimempigia simu jamani mwambie a screeshot simu zake za leo tano za mwisho nimemwambia akishindwa magari saba huko aseme nimuelekeze sasa sina zaidi halafu baad ya kuongea nae nimejifunza kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimempigia simu jamani mwambie a screeshot simu zake za leo tano za mwisho nimemwambia akishindwa magari saba huko aseme nimuelekeze sasa sina zaidi halafu baad ya kuongea nae nimejifunza kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiweka wazi bado kuna watu DIE HARD FANS wake wataanza kuleta maneno...binafsi nimejifunza kitu maana pia mimi ni mmoja kati binadamu uwezo mkubwa wa kufikiri
Nikiweka wazi bado kuna watu DIE HARD FANS wake wataanza kuleta maneno...binafsi nimejifunza kitu maana pia mimi ni mmoja kati binadamu uwezo mkubwa wa kufikiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba niliyokupigia ndiyo hiyo na sms niliyokuelekeza wewe fuata maelekezo ondoa hofu.
Nikiweka wazi bado kuna watu DIE HARD FANS wake wataanza kuleta maneno...binafsi nimejifunza kitu maana pia mimi ni mmoja kati binadamu uwezo mkubwa wa kufikiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Duhtena umenikumbusha..ww omba hela humu uanze kuuza chips mkuu..
Rafiki ni bora usingesema maana tayari umetupa tension juu yake na kuwaza ni nini hicho kitu ulichogungua
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, jamaa ni mmoja wa "Binadamu Wenye Uwezo Mkubwa wa Kufikiri".
Tunasubiri tafakuri yake.
ni kweli mkuuNafikiri huu ni uzi uliofungua mwaka 2019 kwa kuwa na comments nyingi zaidi.
Pia msemo ulio fungua mwaka ni huu wa " NAENDELEA HAPO CHINI"
Naendelea hapo chini[emoji116] [emoji116]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichogundua jamaa ni kweli anahitaji msaada tumsapoti kwa nguvu zote.....(no more drama)Hahaha, jamaa ni mmoja wa "Binadamu Wenye Uwezo Mkubwa wa Kufikiri".
Tunasubiri tafakuri yake.