Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Mwenyeji wa mleta unatumia id gani tukufahamu?
 
Huyu jamaa anahitaji awe mfano wa kuigwa kwanza sifa ya kwanza ya mwanaume usiwe na aibu napia sifa ya mtafutaji anapenda mapitio yake ili yawe chachu ya maendeleo

Sikuzote ngariba haogopi mkojo alisha jipima na kujijua amefeli wapi akataka plan b ndio anayo ipitia bila kujali atazalilika au ationekana negative kwa jamii husika

Alipoa anza story zakutoka huko kigoma nakuweka mawasiliano alijua kabisa lazima kunawatakao mbeza nakuna watakao mwelewa kwa uzowefu wangu na kwa wengi niliokutananao hapa jf 70% ni waelewa nadhani baadhi yao muliwaona

Kule kwetu moshi kunakamsemo huwa wanatumiaga kwamba uliwa unaenda sehemu inayo chinjwa either ng'ombe au mbuzi lazima uwende na kisu ili ule nyama nadhani wagweno, wachaga na wapare mnaelewa hilo yeye kisu chake ilikua namba ya simu na kujitoa hapa jf

Naamini na navyo wajua waha ni watu wakutafuta sana bila kuchoka najua kama alivyo jileta humu naamini 100% jamaa atatoboa na sisi tutakuwa mashahidi

Huwaga mtu anauliza wakati wakwenda wakati wakurudi huwa haulizi najua nikijana mwenye hari tusimbeze isipokuwa tumpe moyo mpaka kaja hapa jf. naamini alishapima Facebook, Instagram, na mitandao mingine haiwezi kumsaidia

Tunaambiwa ukitoa toa bila kukumbuka awe ana tapeli au ana joke wewe toa ukiwa unajua umetoa ili umsaidie mengine tumwachie mungu ndie hakimu wa haki Jf GT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa sasa nimemtumia namba pm na kwenye simu yake ambayo kwa sasa haipatikani halete usanii mwingine kesho aone

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona aise kasema haujamtumia namba yako PM, tumuamini nani? Kama haupo serious kumsaidia bora uwe msomaji kuliko kutoa false information ndomana watu wengine wanamuhisi ni tapeli kwajili yenu nyie mnaomsanif.. njoo huku, njoo kule halaf akifika kituoni hamjitokezi
 
Nimempigia simu jamani mwambie a screeshot simu zake za leo tano za mwisho nimemwambia akishindwa magari saba huko aseme nimuelekeze sasa sina zaidi halafu baad ya kuongea nae nimejifunza kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimempigia simu jamani mwambie a screeshot simu zake za leo tano za mwisho nimemwambia akishindwa magari saba huko aseme nimuelekeze sasa sina zaidi halafu baad ya kuongea nae nimejifunza kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Namba yako inaishia ngapi?
Kurunzi amesema niende kuna kazi ya kuhudumia Mifugo, (Nguruwe) Nakuomba Kurunzi iwe kweli. Asante!
 
Nimempigia simu jamani mwambie a screeshot simu zake za leo tano za mwisho nimemwambia akishindwa magari saba huko aseme nimuelekeze sasa sina zaidi halafu baad ya kuongea nae nimejifunza kitu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kwa niaba ya members wanaofatilia hii thread na ambao wangehitaji kufanya naye kazi utasaidia sana ukielezea kitu ulichojifunza.
 
Nafikiri huu ni uzi uliofungua mwaka 2019 kwa kuwa na comments nyingi zaidi.

Pia msemo ulio fungua mwaka ni huu wa " NAENDELEA HAPO CHINI"

Naendelea hapo chini[emoji116] [emoji116]

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiweka wazi bado kuna watu DIE HARD FANS wake wataanza kuleta maneno...binafsi nimejifunza kitu maana pia mimi ni mmoja kati binadamu uwezo mkubwa wa kufikiri

Sent using Jamii Forums mobile app

Tunafata kauli ya akili za kuambiwa changanya na zako, hakuna sababu ya kubaki na kitu rohoni ukijua kinaweza kuleta athari kwa watu.

Mpaka hapo ni kama umeshasema bila kusema, ni vizuri ukishare ili watu wafanye informed decision.
 
Back
Top Bottom