Hadi anaboa kwakweli huyu HR officer,ka wakwanza yeye kusomea hiyo ki2.....Hiyo HR point of view isiwe ukomo wako wa kufikiri. Umeanza kuizungumza muda sana katika uzi huu.
Usipojiangalia tutakuweka kwenye kundi la malimbukeni. Period
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hapo ndio utakua mjuaji wa kipuuzi unazani kila mwomba msaada unaweza kumnyanyasa?? Kuna watu wazaz wao wana hela sana tu lakin hawajawah kunyenyekea kijingajinga kwa hao wazaz wao ili wawape mitaji, wanapambana kivyao. Nishindwe kumnyenyekea babangu nije nikunyenyekee wewe!!!! Si ajabu Aisee ana ndg wenye uwezo sana kukushnda hata wewe lakini HATAKI MSAADA WA MASIMANGO!!!Asante kwa mrejesho mujarab kabisa.
La nyongeza ni.... ebu mshauri kijana aepukane na lugha zenye hazina staha. Akibadilika na kupunguza ujuaji wa kipuuzi, pengine atafika mbali sana huko mbeleni
Wakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama utakuwa na kazi, Tafadhali nisaidie, Na elimu yangu ni darasa la Saba 0744472252 Ni namba yangu.
Mkuu, sidhani kama lengo langu ilikua ni kumsimanga kijana.Wewe hapo ndio utakua mjuaji wa kipuuzi unazani kila mwomba msaada unaweza kumnyanyasa?? Kuna watu wazaz wao wana hela sana tu lakin hawajawah kunyenyekea kijingajinga kwa hao wazaz wao ili wawape mitaji, wanapambana kivyao. Nishindwe kumnyenyekea babangu nije nikunyenyekee wewe!!!! Si ajabu Aisee ana ndg wenye uwezo sana kukushnda hata wewe lakini HATAKI MSAADA WA MASIMANGO!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
God bless you.Finaly Dogo aise amepata kazi hivi ninavyo zungumza anahudumia mifungo, so far namuona ameifurahia kazi yake na namuona yupo na spirit ya kazi yupo comfortable kafurahia mazingira tuombe Mungu apambane na kazi kwa bidii na uaminifu mkubwa Mungu atamunyooshea njia.
Nitoe shukrani kwa Member wote wa JF walimpigania ili kutimiza lengo lake bila kujalisha waliomtilishaka ama ala kwani huenda kuna kitu atakuwa amekipata na kujifunza yeye binafsi.
Natumaini atakuja hapa kutoa mrejesho yeye mwenyewe.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alianza kuota kiburi.Hadi anaboa kwakweli huyu HR officer,ka wakwanza yeye kusomea hiyo ki2.....
Kila ki2 "from HR point of view"
Dogo ni mwelewa kuliko hata huyu msomi wa HR.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh JF kiboko!Hiyo HR point of view isiwe ukomo wako wa kufikiri. Umeanza kuizungumza muda sana katika uzi huu.
Usipojiangalia tutakuweka kwenye kundi la malimbukeni. Period
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh umeonesha uungwana wa hali ya juu.Mkuu, sidhani kama lengo langu ilikua ni kumsimanga kijana.
Na pia niseme tu kwamba umewaza mbali na kujipa tafakari kwa kiwango chako cha juu kwenye kufikiri.
Mkuu, jana kijana alitoa maneno machafuko sana kwenye uzi wa jamaa flani aliekuja kuomba msaada wa chakula cha usiku pekee.
Anyway...... yawezekana nimekukosea pasipo mimi kutambua, Samahani sana mkuu...[emoji120]
Barikiwa sana mkuuDuh umeonesha uungwana wa hali ya juu.
Mkuu hizi hekima na busara unanunua wapi aisee?Mkuu, sidhani kama lengo langu ilikua ni kumsimanga kijana.
Na pia niseme tu kwamba umewaza mbali na kujipa tafakari kwa kiwango chako cha juu kwenye kufikiri.
Mkuu, jana kijana alitoa maneno machafuko sana kwenye uzi wa jamaa flani aliekuja kuomba msaada wa chakula cha usiku pekee.
Anyway...... yawezekana nimekukosea pasipo mimi kutambua, Samahani sana mkuu...[emoji120]
Nina Jibapa lako hapa waswanu!Mkuu, sidhani kama lengo langu ilikua ni kumsimanga kijana.
Na pia niseme tu kwamba umewaza mbali na kujipa tafakari kwa kiwango chako cha juu kwenye kufikiri.
Mkuu, jana kijana alitoa maneno machafuko sana kwenye uzi wa jamaa flani aliekuja kuomba msaada wa chakula cha usiku pekee.
Anyway...... yawezekana nimekukosea pasipo mimi kutambua, Samahani sana mkuu...[emoji120]
Asante chief...Nina Jibapa lako hapa waswanu!
Umetumia busara sana Mkuu,nadhani labda alikua hajakuewa
Kibanda cha mwisho karibu na jikoAsante chief...
Ebu niambie umekaa upande gani?
Nipo pembeni ya jokofu la coca kolaKibanda cha mwisho karibu na jiko
Anamaanisha kuparua miwa ya kutengeneza juice.....Acha kunitukana mkuu!
Usijali atarudisha mrejesho mda sio mrefu... Utasikia anaimba ule wimbo wa Dar kugumukwani ww dar kuna mtu anakuja kukipa kazi?kama umepata kazi bora useme ww unapewa dili unaipotezea kiwepesi tu..unahis dar parahisi eh??mie naendag dar..nafikia tegeta..lakini kutoka trgeta kwemda mjini lazima uwe na 10000/ya usafiri..we endelea kunengeneka tu unataka uende dar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mtoto umepotelea wapi jaman[emoji23][emoji23][emoji23]huwa napenda unavyoandika humu[emoji23][emoji23]tuliwaj badilishana pic pm upo km kamdoli[emoji23][emoji23][emoji23] namis stry zako mnooo[emoji23][emoji23] nikikumbuka ile ulotaka kukabwa dar mie hoiii[emoji23][emoji23][emoji23]hawajnambo zenji dogo..i miss u[emoji7][emoji7][emoji7]