Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Hiyo HR point of view isiwe ukomo wako wa kufikiri. Umeanza kuizungumza muda sana katika uzi huu.

Usipojiangalia tutakuweka kwenye kundi la malimbukeni. Period

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi anaboa kwakweli huyu HR officer,ka wakwanza yeye kusomea hiyo ki2.....
Kila ki2 "from HR point of view"
Dogo ni mwelewa kuliko hata huyu msomi wa HR.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa mrejesho mujarab kabisa.
La nyongeza ni.... ebu mshauri kijana aepukane na lugha zenye hazina staha. Akibadilika na kupunguza ujuaji wa kipuuzi, pengine atafika mbali sana huko mbeleni
Wewe hapo ndio utakua mjuaji wa kipuuzi unazani kila mwomba msaada unaweza kumnyanyasa?? Kuna watu wazaz wao wana hela sana tu lakin hawajawah kunyenyekea kijingajinga kwa hao wazaz wao ili wawape mitaji, wanapambana kivyao. Nishindwe kumnyenyekea babangu nije nikunyenyekee wewe!!!! Si ajabu Aisee ana ndg wenye uwezo sana kukushnda hata wewe lakini HATAKI MSAADA WA MASIMANGO!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama utakuwa na kazi, Tafadhali nisaidie, Na elimu yangu ni darasa la Saba 0744472252 Ni namba yangu.

wa kigoma
karibu fani yenu usanii wa mziki
-kuhuza kahawa
-uganga wa kila idara

vengine mtamalizia kwa hayo hapo utapiga kazi
 
Wewe hapo ndio utakua mjuaji wa kipuuzi unazani kila mwomba msaada unaweza kumnyanyasa?? Kuna watu wazaz wao wana hela sana tu lakin hawajawah kunyenyekea kijingajinga kwa hao wazaz wao ili wawape mitaji, wanapambana kivyao. Nishindwe kumnyenyekea babangu nije nikunyenyekee wewe!!!! Si ajabu Aisee ana ndg wenye uwezo sana kukushnda hata wewe lakini HATAKI MSAADA WA MASIMANGO!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, sidhani kama lengo langu ilikua ni kumsimanga kijana.
Na pia niseme tu kwamba umewaza mbali na kujipa tafakari kwa kiwango chako cha juu kwenye kufikiri.
Mkuu, jana kijana alitoa maneno machafuko sana kwenye uzi wa jamaa flani aliekuja kuomba msaada wa chakula cha usiku pekee.
Anyway...... yawezekana nimekukosea pasipo mimi kutambua, Samahani sana mkuu...[emoji120]
 
Finaly Dogo aise amepata kazi hivi ninavyo zungumza anahudumia mifungo, so far namuona ameifurahia kazi yake na namuona yupo na spirit ya kazi yupo comfortable kafurahia mazingira tuombe Mungu apambane na kazi kwa bidii na uaminifu mkubwa Mungu atamunyooshea njia.

Nitoe shukrani kwa Member wote wa JF walimpigania ili kutimiza lengo lake bila kujalisha waliomtilishaka ama ala kwani huenda kuna kitu atakuwa amekipata na kujifunza yeye binafsi.

Natumaini atakuja hapa kutoa mrejesho yeye mwenyewe.

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
God bless you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi anaboa kwakweli huyu HR officer,ka wakwanza yeye kusomea hiyo ki2.....
Kila ki2 "from HR point of view"
Dogo ni mwelewa kuliko hata huyu msomi wa HR.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alianza kuota kiburi.

Humu jukwaani kuna watu wamesoma sana sana, lakini hawaziabudu elimu zao.

Kila mtu akianza kujivunia elimu yake humu patachafuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, sidhani kama lengo langu ilikua ni kumsimanga kijana.
Na pia niseme tu kwamba umewaza mbali na kujipa tafakari kwa kiwango chako cha juu kwenye kufikiri.
Mkuu, jana kijana alitoa maneno machafuko sana kwenye uzi wa jamaa flani aliekuja kuomba msaada wa chakula cha usiku pekee.
Anyway...... yawezekana nimekukosea pasipo mimi kutambua, Samahani sana mkuu...[emoji120]
Duh umeonesha uungwana wa hali ya juu.
 
Mkuu, sidhani kama lengo langu ilikua ni kumsimanga kijana.
Na pia niseme tu kwamba umewaza mbali na kujipa tafakari kwa kiwango chako cha juu kwenye kufikiri.
Mkuu, jana kijana alitoa maneno machafuko sana kwenye uzi wa jamaa flani aliekuja kuomba msaada wa chakula cha usiku pekee.
Anyway...... yawezekana nimekukosea pasipo mimi kutambua, Samahani sana mkuu...[emoji120]
Mkuu hizi hekima na busara unanunua wapi aisee?
 
Mkuu, sidhani kama lengo langu ilikua ni kumsimanga kijana.
Na pia niseme tu kwamba umewaza mbali na kujipa tafakari kwa kiwango chako cha juu kwenye kufikiri.
Mkuu, jana kijana alitoa maneno machafuko sana kwenye uzi wa jamaa flani aliekuja kuomba msaada wa chakula cha usiku pekee.
Anyway...... yawezekana nimekukosea pasipo mimi kutambua, Samahani sana mkuu...[emoji120]
Nina Jibapa lako hapa waswanu!

Umetumia busara sana Mkuu,nadhani labda alikua hajakuewa
 
kwani ww dar kuna mtu anakuja kukipa kazi?kama umepata kazi bora useme ww unapewa dili unaipotezea kiwepesi tu..unahis dar parahisi eh??mie naendag dar..nafikia tegeta..lakini kutoka trgeta kwemda mjini lazima uwe na 10000/ya usafiri..we endelea kunengeneka tu unataka uende dar
Usijali atarudisha mrejesho mda sio mrefu... Utasikia anaimba ule wimbo wa Dar kugumu
 
Jamaaaaaaaaaaaaaaani. Hadi machozi ya furaha[emoji119][emoji119][emoji119][emoji14][emoji14][emoji14][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7].
Sis unajua vile nakupendaga. Basi nilikumiss sana dada yangu mimi mwenyewe.[emoji7][emoji7].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mtoto umepotelea wapi jaman[emoji23][emoji23][emoji23]huwa napenda unavyoandika humu[emoji23][emoji23]tuliwaj badilishana pic pm upo km kamdoli[emoji23][emoji23][emoji23] namis stry zako mnooo[emoji23][emoji23] nikikumbuka ile ulotaka kukabwa dar mie hoiii[emoji23][emoji23][emoji23]hawajnambo zenji dogo..i miss u[emoji7][emoji7][emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom