Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Mkuu mbona hufunguki..ulipata kazi gani?,na hali ya maisha sasa ikoje..?
Habari Jiwe, nilipata kazi ya kuhudumia mifugo, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam hapa.
Kuhusu hali ya maisha kwa sasa, Siyo mbaya.
 
Habari Jiwe, nilipata kazi ya kuhudumia mifugo, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam hapa. Kuhusu hali ya maisha kwa sasa, Siyo mbaya.
mifugo gan, ila hongera

mimi cwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…