monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
hahaha sawa bwanaMbona we husifii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha sawa bwanaMbona we husifii
Hizo no si sahihi ni za kubuni!Uko wapi
mimi nina mihemko, wenye mapepo wapo kwenye makanisa ya kilokore na ndio maana daily hudondoka!Wewe una mapepo!
[emoji872]```[emoji872]Ona sasa
Mkuu mbona hufunguki..ulipata kazi gani?,na hali ya maisha sasa ikoje..?Habari,
nilipata kazi,
mpaka sasa ndiyo nafanya kazi hapa!
Shukrani!
Habari Jiwe, nilipata kazi ya kuhudumia mifugo, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam hapa.
Kuhusu hali ya maisha kwa sasa, Siyo mbaya.
Habari Jiwe, nilipata kazi ya kuhudumia mifugo, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam hapa.
Kuhusu hali ya maisha kwa sasa, Siyo mbaya.
mifugo gan, ila hongeraHabari Jiwe, nilipata kazi ya kuhudumia mifugo, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam hapa. Kuhusu hali ya maisha kwa sasa, Siyo mbaya.