Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nina kuwa na wasi wasi huyu muhanga wa kutafuta kazi muda wote yupo online lkn pia nimtaalamu mzuri sana wa kujibu majibu mazuri
Wasi wasi wangu huyu jamaa hana elimu ya std 7
Pili huyu jamaa hatafuti kazi wala hayupo safarini kuja dar huwezi kuja dar pasina kujua unafikia wapi ilihaki umejikoki bando la kuperuzi njia nzima kwani kutoka kigoma mpaka tabora njia nzima kuna network?
Mwisho muhanga ametoa namba sasa wewe jifanye kumpigia hutajuta maishani mwako....kuna mtu,kuna mamba,kuna kinacho tafutwa humu......
Kaka nimesoma na avatar yako inatoa utambulisho wa jambo fulani.
Baba kila siku nawaambia watu. Lakini mm nimesha ambiwa nna roho mbaya, sipendi maendeleo ya dogo, sasa ngoja awatapeli ndo wataelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaambia: Huyu mpuuzi analeta Masikhara au kuna watu wanatafutwa, nna uhakika hayupo safarini maana hakuna ratiba ya treni Kigoma to Dar siku ya J"nne so kuweni makini.
Ratiba ya treni KGM to DAR:
J"mosi
J"Pili
Alhamisi
Alafu huko njiani network inapatikana kwenye baadhi ya miji tu.

Unaniumiza, jambo nimelitolea ufafanuzi, ila wewe unaleta ubishi, Shukrani!
 
Siku anaweza tokea mtu.akawa ana uhitaji mkubwa wa Fursa lakini akashindwa saidiwa .
Binafsi huyu "Aise" sidhani kama yupo seriously
na ukiangakia ratiba ya leo ya usafiri wa hapo KG-DAR ni vitu viwili tofauti.
hata muda wa ku reply nao ni tofauti.

yaweza kuwa
hiyo njia aliwahi itumia/kuna mtu yupo anampa.maelekzo
lakini kuhusu u seriosuly wa kitu anachozungumza haupo

nimejaribu kupiga # yake kwa kujifanya nimekosea.baada ya kusikia sauti ya kike akajisahau kabisa kama yupo safarini.

nawasihi wale baba&mama huruma KUWENI MAKINI.
pia watu kama aise.wanawaharibia wenzao ambao wapo seriously na wanauhitaji wa kweli.

Mkuu, mbona unakuwa na roho mbaya hivo? Wewe si umenipigia jana jioni? Mkuu acha hayo mambo basi, yaani mnaniumiza sana watu kama nyie.
 
Back
Top Bottom