Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Alafu mnakimbiliaga dar tu..mie dar kwasasa huez nihamasisha kuhamia huko ht kidg..mikoanj mbona deals zipo?...yaan mie nimelirelax sana kuondoka dar
Kwani wewe unaishi wapi?
 
Tumeondoka Tabora Muda Huu!
 
Mungu akujaalie Ufike salama
Sawa mkuu, nitaendelea kuleta maelezo hapa, japokuwa kuna wengine wanasema mimi ni tapeli. Mimi nimeamua niende Dar, liwalo na liwe. Ilimradi Nimepewa barua na serikali kule nilipotoka, ya kunitambulisha mimi ni nani na nimetoka wapi.
 
😂😂 mie ningekuwa naishi huko kigoma ningetusua mapema sana
mkuu idea ya kitu ambacho ungefanya.....maana si wenyeji tumeshindwa....kigoma ni pagumu sana...hamna mzunguko wa pesa kabisa
 
MKUUU UKIONA MAISHA MAGUMU KUNA KAZI YA KUBET AMA BETJAMII
HII ITAKUSAIDIA KUONGEZA KIPATO UKITAKA MSAADA ZAIDI NENDA JUKWA LA MAPENZI OOHPS LA WANAKAMALI
 
Utapata sugar mamy wa kukulea,cha msingi ujue kupiga show za kibabe na nguvu za kiume za kutosha na ujue kulamba 0713...!
Karibu sana Dar,ila hapo kwenye elimu yako andika una PhD ndio rahisi watu kukuamini!!
 
Na hapa tumefika sehemu moja wanaita 'Tura!'
 
Mkuu smart phone haiishi chaji?

Au ndio zile za Mzee Reginard Mengi alisema zinakaa na chaji siku 7?
 
Mkuu smart phone haiishi chaji?

Au ndio zile za Mzee Reginard Mengi alisema zinakaa na chaji siku 7?
Natumia Itel mkuu! Zile za batani. Naingia JF Kwa kutumia Opera Min
 
Alafu mnakimbiliaga dar tu..mie dar kwasasa huez nihamasisha kuhamia huko ht kidg..mikoanj mbona deals zipo?...yaan mie nimelirelax sana kuondoka dar
Mkuu upo wapi tupeane michongo mi pia dar nmekaa. Tika. 2004 naona mambo yamenigruka aisee sielewi natafuta mkoa nihame dar ila kuhusu huyo we muache aje ajionee mwenyewe maana kila m2 na bahati yake. Mkuu njoo bobo plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😊😊😊😊kaza..usikate tamaa...dar ukiwa mjanja unaishi...
 
Bora mkuu ungeingia tu Congo kwa watanashati
Screenshot_20190102-144125_1546429312098.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom