Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kwani wewe unaishi wapi?Alafu mnakimbiliaga dar tu..mie dar kwasasa huez nihamasisha kuhamia huko ht kidg..mikoanj mbona deals zipo?...yaan mie nimelirelax sana kuondoka dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe unaishi wapi?Alafu mnakimbiliaga dar tu..mie dar kwasasa huez nihamasisha kuhamia huko ht kidg..mikoanj mbona deals zipo?...yaan mie nimelirelax sana kuondoka dar
We jamaa unaroho ya ajabu kweli kwani hiyo ratiba ya usafiri wa Kg-Dar ulikuajeWakuu huyu mjamaa hayupo seriously ana wazoom hapa
sitopenda watu mlete ushuhuda mbovu.
kama mtasikiliza kama story sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeondoka Tabora Muda Huu!
Sawa mkuu, nitaendelea kuleta maelezo hapa, japokuwa kuna wengine wanasema mimi ni tapeli. Mimi nimeamua niende Dar, liwalo na liwe. Ilimradi Nimepewa barua na serikali kule nilipotoka, ya kunitambulisha mimi ni nani na nimetoka wapi.Mungu akujaalie Ufike salama
mkuu idea ya kitu ambacho ungefanya.....maana si wenyeji tumeshindwa....kigoma ni pagumu sana...hamna mzunguko wa pesa kabisa😂😂 mie ningekuwa naishi huko kigoma ningetusua mapema sana
Raha ya Ngoma ingia ucheze
Mimi nilipiga cm yake na kuona blah nyingi hakuna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
HUYUUU AKIJAA MSHAHARA WA KWANZA LAZIMA APELEKE KWA MHINDI KWANZA UTANIAMBIANgoja aje aonje joto LA jiwe KICHAA[emoji41] [emoji116] View attachment 983014
Sent using Jamii Forums mobile app
Napajua hapo,bado safari ndefu..Na hapa tumefika sehemu moja wanaita 'Tura!'
Mkuu upo wapi tupeane michongo mi pia dar nmekaa. Tika. 2004 naona mambo yamenigruka aisee sielewi natafuta mkoa nihame dar ila kuhusu huyo we muache aje ajionee mwenyewe maana kila m2 na bahati yake. Mkuu njoo bobo plzAlafu mnakimbiliaga dar tu..mie dar kwasasa huez nihamasisha kuhamia huko ht kidg..mikoanj mbona deals zipo?...yaan mie nimelirelax sana kuondoka dar
KkkkkkkkkkkNjoo mkuu, huku maisha yapo tena yamejaa. Dar ndio kila kitu hapo ni kama unatoka Illinois unaenda New York yaani mafanikio ni lazima
Mkuu upo wapi tupeane michongo mi pia dar nmekaa. Tika. 2004 naona mambo yamenigruka aisee sielewi natafuta mkoa nihame dar ila kuhusu huyo we muache aje ajionee mwenyewe maana kila m2 na bahati yake. Mkuu njoo bobo plz
Sent using Jamii Forums mobile app