Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Hapa Itigi Singida ni kubaya kwa kweli, Pamepoa mnoooo! Nyumba zenyewe hata hazieleweki.
 
Mwandiko tu, umekutambulisha!
Karibu sana Jamii forums, hapa ni kwa ajili ya Great thinkers, na taratibu utajifunza!![emoji2]
IMG_20190102_150819_526.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama utakuwa na kazi, Tafadhali nisaidie, Na elimu yangu ni darasa la Saba 0744472252 Ni namba yangu.
Hivi mkuu una laini ngapi, kule ulituambia una namba ya halotel hapa voda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom