Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,115
- 2,231
Ndio tupeane mishe sasa mkuu acha uchoyo we wakiume bhana[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]kaza..usikate tamaa...dar ukiwa mjanja unaishi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tupeane mishe sasa mkuu acha uchoyo we wakiume bhana[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]kaza..usikate tamaa...dar ukiwa mjanja unaishi...
😂😂😂😂... dah...hatari hii mkuu..mie sio me bwana mbona tunashushna hadhi jaman☺...!
Bora mkuu ungeingia tu Congo kwa watanashatiView attachment 983802
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyoo yuko tayarUliulizwa upo tayari kuparamiwa... Hukujibu. Kuna jamaa alisema ana sehemu ofisi ya kutengeneza juice. Upo tayari KUPARAMIWA?
Poa MkuuMimi pia natamani niweke picha, ila simu yangu haikubali!
Mngemjua mtu wa hovyo usingesema hivyo na ungenyamaza kabisa kumsitiriUsafiri wa treni za mkoloni ni wa ovyo sana yani tangu jana leo ndo unafika Singida?
dar kero kuanzia foleni mpaka joto karibuni mkoani mkuuMkuu upo wapi tupeane michongo mi pia dar nmekaa. Tika. 2004 naona mambo yamenigruka aisee sielewi natafuta mkoa nihame dar ila kuhusu huyo we muache aje ajionee mwenyewe maana kila m2 na bahati yake. Mkuu njoo bobo plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu una laini ngapi, kule ulituambia una namba ya halotel hapa voda.Wakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama utakuwa na kazi, Tafadhali nisaidie, Na elimu yangu ni darasa la Saba 0744472252 Ni namba yangu.
Naongelea reli ya mkoloni, usiniletee upuuzi wako hapa.Mngemjua mtu wa hovyo usingesema hivyo na ungenyamaza kabisa kumsitiri