Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Hapo Valentine hotel pembeni kwenye nyama choma kuna wadada poa wazuri.

Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Ni mara ya pili nafika hapa sijawahi waona
 
Waha buana
Baada ya kupigana hapa na pale humu JF nikiwaomba mnisaidie hata kibarua ili nipate hela ya kula nitakapofika Dar, Maombi yangu yanaonekana ni upuuzi!
Watu wananiita mimi ni Muongo, na wengine wakasema mimi ni Tapeli!

Treni kabla haijafika Dar, nikalia lia sana hapa JF nikiomba nisaidiwe nitakapo fika, lakini watu wanazidi kusisitiza "eti, mimi ni tapeli" Huku simu nayo imekaribia kuisha chaji, na treni ndiyo imeshafika Pugu.
Simu ikaisha chaji!
Na hapo niweshawafuata watu kadhaa PM hapa JF akiwemo manengelo na wengine wengi.
Wengine wananipigia simu, ila hawaongei, ambao walisema watanisaidia nikifika, wananiambia kwamba wako Safarini, kwahiyo hawataweza kunisaidia.
Mpaka hapo, nimebaki na elfu moja na mia nne tu.

Baada ya kukosa mtu wa kunipokea, nikaanza kuzurura hapa mjini. Nimezurura sana, na begi langu mgongoni huku nikitembea bize kama wenyeji wa mji wanavyo tembea. Naendelea hapo chini, maana hapa simu imefika mwisho wa kuandika, Kwahiyo naendelea hapo chini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daudi uko Tanzania au, Kona bar ipi, ni vizuri mkamuelekeza mfano now yuko makumbusho mwambie apande gari za kwenda wapi na ashukie wapi......

Sent using Jamii Forums mobile app
424 area code ya California

Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Nimesoma huu uzi kwa makini,nasikitika kusema huyu jamaa ni tapeli na hawezi kukubali kuonana na mwana jf yoyote..ukiangalia kwa makini amekuwa ni mtu wa kukwepa kuonana na wana jf kwa akili sana
@iwambi tupo pamoja njia anazopita huyu jamaa yao nizilishapitwa kitambo sana mi mwenyewe nasubiri akutane na mwana Jf yeyote atupe feedback

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mara ya pili nafika hapa sijawahi waona
Unahitaji mwenyeji akuoneshe huwa wanapita pita hapo na kusimama kila wakati.

Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Nimesoma huu uzi kwa makini,nasikitika kusema huyu jamaa ni tapeli na hawezi kukubali kuonana na mwana jf yoyote..ukiangalia kwa makini amekuwa ni mtu wa kukwepa kuonana na wana jf kwa akili sana
Nani anakwepa? Mbona unakuwa na akili kisoda namna hiyo jamani kaka?
 
Nimesoma huu uzi kwa makini,nasikitika kusema huyu jamaa ni tapeli na hawezi kukubali kuonana na mwana jf yoyote..ukiangalia kwa makini amekuwa ni mtu wa kukwepa kuonana na wana jf kwa akili sana
Inawezekana unayosema lakini ukiangalia upande wa pili tapeli hawezi kukwambia alipo kwa sasa huyu anakwambia alipo, na anakupigia simu pia na kutaka kuonana na mtu. Tapeli mara nyingi huweka mawasiliano ya kutumiwa hela sio kukutana. Tatizo lake huyu mgeni hajui apande gari ipi na ashuke wapi. Kama ushawahi kusafiri nadhani utamuelewa vyema sana.

Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Nani anakwepa? Mbona unakuwa na akili kisoda namna hiyo jamani kaka?
Wewe unakwepa...sema hapa umefikia wapi na wana jf wote waliokwambia muonane...tena kuna jamaa kakuahidi kazi mbona hutaki kuleta mrejesho mmefikia wapi tapeli mkubwa wewe...utawatapeli haohao ndugu yangu na huo ujanja wako unamwisho
 
Back
Top Bottom