Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Inawezekana unayosema lakini ukiangalia upande wa pili tapeli hawezi kukwambia alipo kwa sasa huyu anakwambia alipo, na anakupigia simu pia na kutaka kuonana na mtu. Tapeli mara nyingi huweka mawasiliano ya kutumiwa hela sio kukutana. Tatizo lake huyu mgeni hajui apande gari ipi na ashuke wapi. Kama ushawahi kusafiri nadhani utamuelewa vyema sana.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Mkuu niamini mimi huyu jamaa ni tapeli asilimia 100....kama upo Dar muulize yupo wapi na akishakwambia mwambie umkute hapohapo alipo uone kama utamkuta..utapeli wake c ndo kama hivyo watu washaanza kumtumia pesa
 
Wewe unakwepa...sema hapa umefikia wapi na wana jf wote waliokwambia muonane...tena kuna jamaa kakuahidi kazi mbona hutaki kuleta mrejesho mmefikia wapi tapeli mkubwa wewe...utawatapeli haohao ndugu yangu na huo ujanja wako unamwisho
Huyu ndo Muha aise alietoka kigoma toka majuzi mpaka Leo na anaomba msaada lakini
1;simu yake haiishi chaji toka tarehe moja jioni mpk Leo tarehe 4 na anaendelea kudunda NATO

2;amefika na tsh 1,400 lakini simu yake ina bandle na yupo online mda wote

3;ni muombaji msaada pekee ambae ameishia darasa la saba tena la kigoma lakini anajua vizuri kujieleza tena kwa kiswahili fasaha na kuelewa comments zote hata za kiinglish

4;ndo muombaji msaada pekee ambae hataki kuonana na wanaemwambia akutane nao kuanzia Valentine, barakuda,kona bar nk

5; ni muombaji pekee ambae anawaita akili kisoda watu wanachallenge kwa maswali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa JF nimegunduaga mada za kiwaki ndio zinapendwa na watu wengi. Nimegundua pia JF GT ni wachace labda asilimia 5-8 ya members wote. Zilizobaki wengi ni below average minds labda kama asilimia 60 hivi, na hao asilimia 32 wengine ni average minds.
 
Hahaaah na kuna watu wameingia king😂😂😂
 
Hapa JF nimegunduaga mada za kiwaki ndio zinapendwa na watu wengi. Nimegundua pia JF GT ni wachace labda asilimia 5-8 ya members wote. Zilizobaki wengi ni below average minds labda kama asilimia 60 hivi, na hao asilimia 32 wengine ni average minds.
Wewe uko kwenye kundi lipi maaana KINUKA TAYEULILA!!! Means anayenuka hasikii/hanusi kama ananuka
 
watu wanajiita great thinker lakin weupe kabisa, kaambiwa apige picha alipo hataki eti sjui simu imefanyaje sjui

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoa msaada kwa mwombaji ni jambo moja na aliyepokea either ni tapeli or not ni jambo lingine. Usipende kuukumu kwa kufanya uchunguzi finyu kiasi hiki.
 
Jamani ya kwanza ni ipii hiyo ebu ninong'oneze basi
Shunie mimi niseme kwamba you have earned my trust for the second time, ya kwanza naijua mwenyewe ila hii ya pili imesababisha niamini kwamba hata ya kwanza haikuwa bahati mbaya.

Shukrani sana.
 
Back
Top Bottom