Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Dadaaa[emoji12][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji14][emoji14][emoji7][emoji12] manengelo nakupenda jamani. Madame mwenyewe!!
Hy mtoto anaandikaga poa sana yaan ana kaucomed fulan hv[emoji23][emoji23]mfatilie threads zake tulipendana akaja pm akanitumia pics..mdoli huyu hapa kazuriiii[emoji23][emoji23][emoji23]kaarabu[emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha upepo kwa mrija etii eee, sawa mkuu labda una undugu na Marley dollar
ha ha, halafu nakumbuka siku zile naomba kusaidiwa, wewe ulikuwa kinara wa kusema kwamba mimi ni tapeli.
...au nimekufananisha
 
ha ha, halafu nakumbuka siku zile naomba kusaidiwa, wewe ulikuwa kinara wa kusema kwamba mimi ni tapeli.
...au nimekufananisha
hahaha skusema tapeli lakini maelezo yako yalikuwa yanajichanganya sana lakin nilikuja kukuelewa ulivonyoosha maelezo
 
Back
Top Bottom