Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Uko sahihi.
Lakin kuna kubet kibiashara na kubet kiburudan.
Tofaut yake ni kubet kibiashara ni unastake high kwa odd ndogo sana kama 1.2 kwa 100k or +
Unajikuta kila siku una 30k ya mafuta na lunch nje ya kipato halali.
Kwa wenye na baby walkers
Hiyo mbinu ndio mbaya zaidi. Unabet 100k kwa odds ya 1.2 unapata 20,000.
Unabet milioni moja kupata 200,000.
Mkeka miwili isipokubali kati ya kumi uko palepale. Inabidi uwe na winning percentage ya zaidi ya 80%
Risk vs reward ratio ni mbaya sana long run utashindwa tu.
Bora Yule anayeweka mkeka wa timu 25 akitumia buku kwa odds kama 200/1 Akifaulu mara moja anapata laki mbili akienda na over 0.5 goals, over 2.5 yellow cards or over au over 5 corners combination hizo zote.
Mwisho wa siku ni bora hizo nguvu uwekeze kuwa hata dalali wa nyumba, magari, mashamba nk. Hata kuuza vitu mitandaoni. Uwezo wako tu wa kuaminika na kuongea.