Ben-adam
JF-Expert Member
- Jun 2, 2023
- 1,043
- 2,309
- Thread starter
- #61
kila kona kuna ushauri wa aina hiyo, kwahiyo mimi naona mambo ya ndoa yana wasemaji wengi inatosha, hata hivyo kamari inaweza kuwa sababu ya hizo ndoa (baadhi) kufarakana.thread zako nyingi ni kupinga betting,unaonaje uegemee zaidi kuandika makala za ndoa?
Nafikiri ungeegemea zaidi ktk kushauri wana ndoa