Mh Janury Yusuph Makamba nakukumbusha kuwa mwezi March, 28 2021 TPA ilileta Crane yenye uzuto wa Tani 70 ila kwa Bahati mbaya ilitumbukia baharini palepale Bandarini Jijin Dar es salaam, na TPA waliahidi kuwa wanauwezo wa kuitoa, sasa kama TPA walileta mzigo wa Tani 70 iweje useme Tanzania nzima hakuna Crane yenye uwezo wakubeba tani 26?
Mh. Makamba wanyetidhaji wangu wananiambia picha inayonekana hapo chini imepigwa na mfanyakazi wa huko eneo la mradi na hizo crane unaziona hapo mbili ziko 3 na kila moja inauwezo wakubeba Tani 10 kwa maana zote tatu mzigo wa tani 26 unabebeka, sasa unatuambia hakuna crane inayoweza kubeba tani 26 kweli?
Mh Makamba angalia lile daraja la SGR la KM 2.5 toka station mpaka shaurimoyo zile berms zilizopandishea kule juu unajua zina usito gani? Tutake radhi Mh January unatupa mashakha sana.
Ukiwa na kiingereza cha ras Simba,na suti za kubamba,na Ujue kuongea kama kina Manara,,waTZ watakupa uongozi pengine hata urais.wanasiasa wetu wengi ni overrated na wachumia tumbo wanatuongoza sisi wajinga..
"In the land of the blind ,the one eyed man became king"
Watanzania acheni kutia aibu, CRANE TON 26 na hiyo TON 70 jamani ni ndogo saaana hizo kwenye uwanja huu hapa TZ...
Tanzani zipo mpaka crane mobile na crawler za mpaka ton 300.... hapa nazungumzia kuanzia 100,200 to 300tons can be either crawler or mobile nendeni pale EFFCO DSM, ALSTAIR, au hata kwa Raphael logistic...
Watanzania acheni kutia aibu, CRANE TON 26 na hiyo TON 70 jamani ni ndogo saaana hizo kwenye uwanja huu hapa TZ...
Tanzani zipo mpaka crane mobile na crawler za mpaka ton 300.... hapa nazungumzia kuanzia 100,200 to 300tons can be either crawler or mobile nendeni pale EFFCO DSM, ALSTAIR, au hata kwa Raphael logistic...
MAKAMBA yuko mahususi Kwa ajili ya kurudusha ule mchezo mchafu wa kina lowasa zamani na inawezekana ametangulizwa tu mbele ila wakuu wako Nyuma
Biashara ya majenerata ndio hiyo inarudi
Watanzania tuombe sana nchi inarudishwa mikononi mwa wale Jamaa wa enzi zile
Huyo jamaa ana kiburi cha kitanga.
Watanga nawajua Wana Mambo ya ajabu ajabu Sanaa kwenye mambo ya RIZIKI.
HAPO keshampiga kiatu boss wake boss kila analoambiwa anakubali tu
Ina maana Adio yako mkubwa ni makamba pekee mbona mambo ya ajabu
Ukiamka Makamba
Ukilala Makamba
Ukigeuka Makamba
Mbona hawasemi mbolea ni Elfu 95 saiv au hawaoni kila kitu Makamba
Ndg ilitolewa na tpa, na hapa Tanzania Kuna machine mpaka za tani 150,uliza transformer za kinyerezi 2 Zina tani ngapi? na zilifungwa na machine moja,kaulize Kwa Bollore logistics au Raphael logistics wana machine tani ngapi!