FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kikubwa na cha msingi, crane liko wapi jamani?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wanakodi kutoka nchi gani?itakuwa machine kama hii
View attachment 2113773
Aitoe nani? Na wala hakuna tasrifa yoyote ya uchunguzi wa jinsi ilivyotumbukia baharini.Hiyo crane iliyozama baharini imeshatolewa.?
Dah bc WaTz tumelogwaAitoe nani? Na wala hakuna tasrifa yoyote ya uchunguzi wa jinsi ilivyotumbukia baharini.
Kiufupi hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kwa yeyote.
Matapeli ndivyo walivyo., uongo uongo na ujanja ujanja.Hahah, nikiikumbuka hii ishu ya crane la tani 26 nacheka sana
Kichwani ni watupu kabisa, ni kubebwa bebwa tu ndio kunatupoteza kama taifa, jitu hopeless kabisa, kazi kubebwa bebwa tu..Matapeli ndivyo walivyo., uongo uongo na ujanja ujanja.
Nahiyo iliyo dumbikia Baharini pia ilikuwa ya Raphael logistic hapa Tz bahna hadisi zimekuwa nyungi sana na saingine kutufanya ma mbu mbu sana kwakweli inauma sana.Watanzania acheni kutia aibu, CRANE TON 26 na hiyo TON 70 jamani ni ndogo saaana hizo kwenye uwanja huu hapa TZ...
Tanzani zipo mpaka crane mobile na crawler za mpaka ton 300.... hapa nazungumzia kuanzia 100,200 to 300tons can be either crawler or mobile nendeni pale EFFCO DSM, ALSTAIR, au hata kwa Raphael logistic...
Itakuwa hawakufanya balancing na footing vizuri ndio maana ikaelemewaNahiyo iliyo dumbikia Baharini pia ilikuwa ya Raphael logistic hapa Tz bahna hadisi zimekuwa nyungi sana na saingine kutufanya ma mbu mbu sana kwakweli inauma sana.
Kuna makosa flani yalitokea siku ile nakumbuka mawasiliano yalikuwa 2 tofauti kwakweli sitaisahau hiyo siku.Itakuwa hawakufanya balancing na footing vizuri ndio maana ikaelemewa