igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Kibajaji mkuu...Kwani Waziri Kivuli wa Nishati ni nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibajaji mkuu...Kwani Waziri Kivuli wa Nishati ni nani?
labda atuambie mzee mdee na mwenzake bulaya ccm B vp huko hawajapanga safu yao vizuri kuwakabili ccm AKwani Waziri Kivuli wa Nishati ni nani?
Ulitaka uwekwe wewe?Huyu maza nae anaboa sana!as if mwendazake alikua mke mwenza maana alivoingia katoa watu kaweka makapi yake dah
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mtoa mada kwani ni mwisho wa mvua kunyesha au msimu bado.
Nimependa hiyo ya ajifunze kunyamaza wajibu wa chini yake itamsaidia kusoma atmosphere.Upo mgao wa maji kwa sababu ya kiangazi kikali kilicholikumba Taifa. Kama maji hakuna kwenye mito ni dhahiri kwamba maji ya kupeleka kwenye Bwawa linalojengwa Rufiji hayapo.
Lakini Mh. Januari anatuambia wanasubiri Kreini kubwa kutoka nje. Namuuliza aliyetangaza tarehe 15/11 maji yataaanza kujaa Ni Nani kama siyo serikali? Hizi Kreini awakuziona kwamba zinahitajika? Lakini pia maji yapo? Yanatoka wapi?
Ni jambo jema kwa Mhe. Kukaa kimya kuliko kujibizana na watu akiamini yeye ndiyo anajua kila kitu. Angesema tu wanasubiri mvua inyeshe wafungulie maji, tungeelewa.
Juzi kamdhalilisha Mataragio kwa kutaka kupata popularity na kwa namna walivyopishana atamwondoa Mataragio ila huo siyo uongozi.
Akubali team work na ajifunze kunyamaza wajibu wa chini yake itamsaidia kusoma atmosphere, mengine yanaletwa kwake Kama majaribu lazima ajifunze kuyashinda.
Kwa muda mfupi tu amechukiwa mitandaoni kwanini? Lazima kuna sehemu anataka kulazimisha aonekane best wakati angeweza kutulia kazi zake zikamjadilisha mitaani.
JPM hakuwahi kuwaza urais lakini alivyokuw anafanya akiwa Waziri ilimlazimu Jk na mkapa wamteue kwa maana yeye pekee ndiye alikuwa na cv ya uchapakazi.
Ni bahati mbaya tu kwamba utawala wake uliumiza watu wengi, asingekuwa na hili doa angekuwa Rais mzuri Sana.
January waachie wa chini waseme wewe chochea kuni
Huo umeme wa nuclear tutaupata wapi? gharama zake tutaziweza? vinu vya kuhifadhi tutaweza kuvimudu na gharama zake?Mabadiliko ya tabia ya nchi inamaanisha misimu ya mvua na kiangazi itakuwa haitabiriki. Wenzetu wanaofikiria miaka 200 ijayo wameamua kujikita kwenye nishati mbadala na Nuclear.
Huo umeme wa nuclear tutaupata wapi? gharama zake tutaziweza? vinu vya kuhifadhi tutaweza kuvimudu na gharama zake?
Kwani kinachowashinda kuzalisha umeme wa upepo ni kitu gani ikiwa tuna mikoa yakutosha yenye upepo mkali? kifupi ni kwambs CCM na serikali yake hawajawahi kuwa serious na hii issue ya umeme.
We are poor for a reason, hata yule aliesema hajui kwanini Tanzania ni masikini licha ya utajiri iliyonayo alikuwa "mjanja" kukwepa swali, jibu alikuwa nalo, na chama chake ndio sababu ya umasikini wa Tanzania, ila kwasababu yeye ndie alikuwa kiongozi akaona bora aseme hajui.Umeme wa Nuclear hatuwezi kwa sasa ila wa gesi ulikuwa ndani ya uwezo wetu kabisa na pesa nyingi zilishatumbukizwa kwenye bomba la gesi, ilipaswa tujikite huko kwanza badala ya kukimbilia Stigler.