Enter Passcode
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 479
- 942
- Thread starter
-
- #41
Mkuu much know, unatufanya tujione wenye hatia kwa sababu ya u jobless, hujawahi pitia huu moto ina maanaKuna kazi hata uwe huna kazi ni mbaya tu imagine mtu unalipwa laki nauli juu yako na upo Dar.
Mwenzio analipwa Million 3 kwa Mwezi huyo, wewe fanya ulichoambiwa na mdau fanyia kazi ushauri uliopewa acha kushindani na wanaoshinda kwenye viyoyoziMkuu much know, unatufanya tujione wenye hatia kwa sababu ya u jobless, hujawahi pitia huu moto ina maana
Wakuu simu zinaita , prince mhando ana pepo yake hakikaUmefanya Jambo jema mkuu,
Nimepitia huu moto kwa miaka zaidi ya mitatu mbaka nilivyochukua hatua maana mishe zote za ofisini nilikuwa Sina connection na baadhi ya michogo mingine ya kitumwa niliipiga chini naigia zangu kitaa kuwa dalali sokoniMkuu much know, unatufanya tujione wenye hatia kwa sababu ya u jobless, hujawahi pitia huu moto ina maana
Nimepitia huu moto kwa miaka zaidi ya mitatu mbaka nilivyochukua hatua maana mishe zote za ofisini nilikuwa Sina connection na baadhi ya michogo mingine ya kitumwa niliipiga chini naigia zangu kitaa kuwa dalali sokoni
mkuu kampuni gani wanachukua walinzi na mm nataka kupeleka maombi aliyokwambia brother prince mhando.Wakuu simu zinaita , prince mhando ana pepo yake hakika
ukweli mchungu sana huuAchana na hizo mbishe dogo utazeeka masikini Bora uwe kuli sokoni,uendeshe guta au toroli tatizi hampendi kuchafuka na kufanya kazi ngumu ndo maana mnakukuwa mitaji ya kuwasindikiza wenzenu kwenye utajiri
Wakuu simu zinaita , prince mhando ana pepo yake hakika
Asante sana kaka, mtaa umenichakaza mpaka basi πππnmeamua kurudisha majeshi JF, naamini hii ni hatua kwangu πππAsante sana Rafiki yangu...Mimi nakutakia mafanikio...ila Cha kukushauri kama hiyo JKT Yako sio ya mujibu...Ni wale wa kujitolea hakikisha unasoma fani ndogo ndogo...kama udereva...uchomeleaji au upakaji rangi...
Fani hizo zitakuongezea sifa ya kuajiliwa kwenye majeshi yetu.
Ukifanya vizuri kwenye hiyo kazi connection zipo nje nje...
Mimi ni mlinzi nilie amua kustaafu π€£π€£π€£ ila amini nakwambia kupitia ulinzi Leo hii spika wa bunge ananifahamu japo hajanisaidia chochoteπ€£π€£π€£π€£
Nilishawahi kukutana uso kwa uso na aliekuwa IGP Simon Nyanghoro Sirro na Tip alinipa.
Niliwahi kukutana na waziri Wilium Rukuvi akiwa yeye na Familia yake huyu alinifanya niongeze Kasi ya kupambana maana eneo nililokuwepo alikuwa ananunua vitu vya bei mbaya bila kuomba discounts π€£π€£π€£
Wasanii mbali mbali niliwahi kukutana nao na wengine Nina wasiliana nao hadi Leo.
Ila chanzo Cha kufahamiana na wote hao ni kazi ya ulinzi. Broh usikate tamaa itumie hiyo fursa kama daraja tu la kukuvusha...
Mwenyezi Mungu akupe hitaji la moyo wako, akupe matumaini na akuondolee machungu, ulionalo gumu liwe jepesiππππ
Asante sana kaka, mtaa umenichakaza mpaka basi πππnmeamua kurudisha majeshi JF, naamini hii ni hatua kwangu πππ
Zipo nyingi sana mkuu, but sijajua wewe ni mtu wa aina gani :-Laki 4 biashara gani mkuu mana mm ninayo saba hapa nataka niichange ifike million 2 lakin kama Kuna biashara tentative naweka hela kaka. Nishauri
Mm borntown mkuuZipo nyingi sana mkuu, but sijajua wewe ni mtu wa aina gani :-
1. Ni bishoo(born town) au
2. Mtafutaji
Nipe mwanga kwanza hapa
Borntown endelea kuongeza mtaji ufike hata M3.5 hivi unaweza fanya kitu.Mm borntown mkuu
Ok sio kama sijawahi kufanya biashara mkuu. Mm nishakomaa kariakoo, nisahampiga mzigo mitumba hapo ilala. Nikajua una kitu kipya sanaBorntown endelea kuongeza mtaji ufike hata M3.5 hivi unaweza fanya kitu.
NB:
1. Hela siyo mtaji, mtaji ni watu,
2. Unaweza kuaza na mtaji mdogo, biashara ikakua au unaweza kuaza na mtaji mkubwa, biashara ikafa Mapema.
PM yako IPI
Wakuu asanteni kwa mioyo yenu ya kujitolea kunipa connection.Umefanya Jambo jema mkuu,
Ile Namba yako uliyoweka IPO WhatsApp?Wakuu asanteni kwa mioyo yenu ya kujitolea kunipa connection.
Sehem niliyoelekezwa wameshasitisha kupokea maombi,nmeambiwa kwamba waliopunguzwa ndo walikua kipaumbele kwao.
plz msinichoke #stow away,p/mhando .etc.. hata hao wanaosema mambo ya sokoni kuna taratibu zake πͺππ
Point π₯π₯π₯β’ Mungu mwema mkuu,
β’ Ila kama una ka laki 400000 - 500000/- hivi mfukoni, jiajili mwenyewe mkuu,
Hapana mkuu, ila nna emailIle Namba yako uliyoweka IPO WhatsApp?
Basi nitakucheck kawaida umesema upo wapi?Hapana mkuu, ila nna email
Npo kimaraBasi nitakucheck kawaida umesema upo wapi?