Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Hili bomu linakwenda KUFUKUWA...kunawatu huko tumbo la kila sekunde TAYARI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu mmechoka Saba 🤣🤣MamaSamia2025 njoo uone huku
duh!Akemee Mradi wake ?
Kwamba jiwe alienda na pajama ya kulalia kwa mama 😂😂😂Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli
Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
Wewe kenge ndo nyie mnaotapeliwa kifala kwa kudhani mtu akitumia jina linalofanana na mtu fulani kuwa ndo yeye.MamaSamia2025 njoo uone huku
nitumie hcho kitabu hapoErick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli
Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
Acha ukweli ujulikane mnezoea sana kuficha mambo. Acha unyama alofanyiwa Samia ujulikane.Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli
Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
Erick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli
Binafsi mimi siziamini ila wapo wanaoziamini, kwa kuwa hiki kitabu kimesomwa na watu wengi na tuhuma hizi zimewekwa public ni vizuri Rais Samia akatoka hadharani na kukemea tuhuma hizi kwa kusema sio kweli, kukaa kimya inaweza kutafsiriwa kama hizo tuhuma ni kweli ama hajali kuhusu Magufuli kuchafuliwa
Ebanaeee thibitishaMagufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka,
😁 KwaniniWatu mmechoka Saba 🤣🤣
Huyo jamaa labda kachanganyikiwa au kaagizwa? Maana..Aiseeh!
Sio ampeleke Kabendera Mahakamani kuthibitisha tuhuma hizo?
Na akishindwa achukuliwe hatua. Na ikibainika ni kweli watuhumiwa waliobakia wafikishwe sehemu stahiki
Mkuu ndio uniite kenge, Lakini mimi najua sio weweWewe kenge ndo nyie mnaotapeliwa kifala kwa kudhani mtu akitumia jina linalofanana na mtu fulani kuwa ndo yeye.
Ila 😂Wewe unatetea wabakaji?? 😡
Rais hafanyi kazi based on hisia za watu na rumorsErick Kabemdera anaandika kuwa Rais Magufuli alienda sehemu anayolala Rais Samia akiwa na nguo za kulalia akiwa na lengo la kumbaka, hizi ni shutma nzito sana na zinamchafua sana Magufuli